changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. beth

  Rais Samia awataka viongozi kusaidia utatuzi wa changamoto za wananchi

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kusaidia utatuzi wa matatizo yanayowakabili Wananchi akisema, "Haipendezi changamoto inatatuliwa, ukija tena changamoto ile ile ipo" Ameeleza hayo akiwa Kilimanjaro ambapo amezindua Barabara ya lami ya Sanya Juu - Elerai. Rais yupo Mkoani...
 2. B

  Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

  Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
 3. EL ELYON

  Kutoa hela UTT changamoto CRDB

  Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni. Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units. Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu. Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
 4. Grand Canyon

  Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

  Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
 5. Sky Eclat

  Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

  Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
 6. M

  Story of Change Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

  Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
 7. T

  Suluhisho la usugu wa changamoto katika utoaji wa huduma za kijamii

  Kushindwa kukamilika kwa wakati katika miradi mbalimbali yamaendeleo na kusuasua kwa utoaji wa huduma kwa ufanisi pamoja na kukosekana kwa ufanisi na weledi katika kusimamia na utoaji wa huduma hizo ni moja kati ya changamoto kubwa nchini. Moja kati ya sababu inayopepelekea kutokea kwa hali hii...
 8. M

  Mambo yanayoweza kufanya iwe changamoto kupata mpangaji

  ...am editing
 9. simulizi za kweli

  Story of Change Uvumilivu: Changamoto kubwa ya vijana kushindwa kujiajiri

  Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
 10. Bonnie99

  Story of Change Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

  Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
 11. N

  Changamoto ya kiafya iliimarisha ubinafsi hata katika maamuzi mazuri ya kisiasa na kiuchumi

  Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya. Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
 12. Abdallah_Kichwaz

  Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

  Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi? **Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi **RIP Prof Luhanga.
 13. Gnyaisa

  Story of Change Umewahi kujiuliza Ubongo wa binadamu una ukubwa wa GIGABYTES (GB) ngapi? Fuatilia

  Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. Amejaliwa uwezo wa kubadili changamoto yoyote iliyo mbele yake kuwa fursa yenye kumletea furaha, faida na maendeleo katika maisha yake. Mtaalamu wa...
 14. Political Jurist

  Shaka: Viongozi na watendaji wa Chama na Serikali shughulikeni na changamoto za Wananchi

  VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA SERIKALI SHUGHULIKENI NA CHANGAMOTO ZA WANANCHI Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewaeleza viongozi na watendaji wote ndani ya chama na Serikali kushughulika na changamoto za wananchi badala ya kukaa ofisini. Shaka...
 15. D

  Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

  Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
 16. denooJ

  Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

  Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya. Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho. My take. Hii inaweza kuwa ni...
 17. kamwendo

  Story of Change Namna ya kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku kwa Viziwi

  Utangulizi Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio. Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
 18. Zamazangu

  Changamoto ya kiwango cha elimu Tanzania

  Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili. Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na: 1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
 19. Z

  Kwanini Somo la Hisabati bado ni changamoto?

  Wanafunzi wa Darasa la Saba wamemaliza Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi, lkn ktk tathimini ya haraka haraka wanafunzi wengi wanalalamika kuwa mtihani wa somo la Hisabati ulikuwa mgumu sana. Swali ambalo nimejiuliza: 1. Kuna tatizo gani ktk somo la Hisabati kwa Elimu ya Tanzania? 2. Ni...
 20. M

  Story of Change Tukio lililonifumbua macho kuhusu changamoto huduma ya dharura katika hospitali zetu

  Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo Binafsi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya ya uzorotaji wa huduma ya dharura katika hospitali nyingi...
Top Bottom