chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hakuna pahala dola imeonekana kuwa chanzo cha utekaji. Yaani kina Soka na Polepole walijiteka au?

    Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi. Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona? Hii ripoti ni mali ya Rais
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Mitazamo Hasi juu ya Elimu chanzo cha Utoro Shuleni

    Kutokana na kukithiri kwa tatizo la wazazi kutelekeza watoto wao na kwenda kwenye makambi ya kilimo wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, uchunguzi umeonyesha kuwepo kwa mtazamo hasi kwa elimu. Awali ilibainika kuwa zaidi ya watoto 2,000 huacha masomo kila mwaka katika wilaya ya Kasulu, mkoani...
  3. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

    Habari zenu. Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka). Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara ambalo maisha ya watu wake ni duni kuliko mabara mengine. Zipo sababu nyingi zinazochangia, moja kati...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Chanzo cha maji mradi wa Irujamate ulizunduliwa 2016 miaka 17 leo maji hayafika vijiji vya jirani, hii siyo haki

    Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters

    Wanaukumbi. Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters Jumamosi, kikielezea hatua hiyo kama ishara ya "uzito" katika juhudi za kufikia makubaliano na Washington wakati wa mazungumzo huko...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya umeme kukatika huduma kusimama Hospitali ya Sekou Toure yasema kulitokea hitilafu kwenye chanzo kikuu cha umeme

    YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HITILAFU YA UMEME KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU-TOURE Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia ukurasa wa Jamii Forums, zikidai kuwa hospitali imekumbwa na...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

    Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Chanzo kufungiwa Coco Beach chatajwa, haijauzwa

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema Coco Beach haijauzwa, bali serikali inaboresha ili kulipa hadhi eneo hilo na kudhibiti shughuli zisizokubalika kisheria. "Vijana wengi waliopo pale coco beach hawana kazi hawana biashara wanazurura tu na wengine ni walevi wengine wanatumia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukosekanaji wa katiba chanzo cha mauaji Oct 29

    Huo ndio ukweli na bila katiba mpya wengi watapoteza maisha maana bila kuondoa haya majanga yaliyopo ya katiba mbaya tusubiri mabaya tu
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi

    KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️ Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi. Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na kuvuna". Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna". Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  12. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga, Tabora na mikoa mingine ambako matukio ya watu kuuliwa na radi yalikuwa yakiripotiwa mara kwa mara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Israel: Hotuba za chuki ni chanzo cha vurugu nchini, tuzipige marufuku

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine. Aidha ametoa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  16. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Chanzo ni elimu ya kurithi?

  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dini ndio chanzo cha unafiki Mashariki ya kati?

    There is something wrong somewhere! Watu wengi huangalia juu juu tuu. Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu! Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo.. Palestine ISSUE" Fatah ndio...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mgogoro wa Marekani, Israel na Iran uliopelekea kuuawa kwa Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei

    Mvutano kati ya Marekani na Iran una mizizi ya kina katika historia, itikadi na mapambano ya madaraka, na kupanda kwa nguvu kwa Maimamu Wakuu (Ayatollah) kulibadilisha kabisa uhusiano huo. Ili kuelewa kama Ayatollah alikuwa “tatizo” kwa Marekani na Iran, ni lazima tuanze kabla ya Mapinduzi ya...
  19. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    Hello bosses and roses... Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa. Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wajadili kuhusu ‘Traffic lights’ za Ubungo External KUZIMIKA usiku na kuwa chanzo cha ajali

    Jana niliona kuna member amejadili kuhusu taa hizo, nikapita usiku na kubaini kuwa alichozungumza ni kweli, taa hizo kwenye Jiji la Chalamila zinazingua na ni hatari kwa kuwa zinaweza kusababisha ajali, kwani kila upande unaweza kuhisi upo sahihi. Mjadala huo wa Clouds FM nimeusikia asubuhi hii...
Back
Top Bottom