majeruhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Waziri wa ulinzi atoa pole vifo na majeruhi ya wanajeshi wa tanzania, drc

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
  2. Kichuguu

    TFF Inunue Golf Cart ya Kubebea Majeruhi Kutoka Uwanjani

    Uwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na huweza kusababisha mchezaji kuangushwa iwapo wabebaji hawatakuwa na kimo kimoja. Imefika wakati wa...
  3. GENTAMYCINE

    Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

    Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam? Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC...
  4. sonofobia

    Gamondi anafanya sana makosa kumtumia Pacome ilihali ni majeruhi

    Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB. Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha kidonda mechi na Al Ahly. Tukimkosa Pacome na Aucho hatuwezi ipa upinzani Mamelod.
  5. M

    Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  6. Matulanya Mputa

    Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

    P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
  7. Erythrocyte

    Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  8. R

    Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  9. Abou Shaymaa

    Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  10. peno hasegawa

    Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

    Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria. Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78? Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani? Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi? Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi? RPC Tabora, OCD Nzega na...
  11. Chizi Maarifa

    Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

    Hakuna haja ya salamu. Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo. Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa...
  12. JanguKamaJangu

    Asilimia 94 ya majeruhi wanaopokelewa MOI wanafika kwa kuchelewa

    Imebainishwa kuwa asilimia 94 ya majeruhi wa mifupa na ubongo hupokelewa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) masaa sita baada ya kutokea kwa ajali kinyume na viwango vya kimataifa vinavyotaka majeruhi kufikishwa hospitalini hapo ndani ya saa moja ili kuokoa maisha yao...
  13. JanguKamaJangu

    Mshambuliaji mpya wa Man United ni majeruhi, atakosa mechi kadhaa

    Rasmus Hojlund ambaye alitambulishwa wiki iliyopita kuwa mchezaji mpya wa Manchester United ana majeraha ya mgongo lakini inadaiwa kuwa suala lake linaweza kuwa kubwa zaidi licha ya klabu kutoweka wazi. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 72 aligundulika kuwa na...
  14. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  15. Mganguzi

    Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  16. benzemah

    Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

    Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter: "Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
  17. BARD AI

    Majeruhi watano ajali ya bajaji na IST wafariki dunia

    Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
  18. Mohammed wa 5

    Isingekuwa uwezo wa Mungu leo ningekuwa marehemu na mtaani kungekuwa na misiba na majeruhi wengi siku ile

    Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
  19. Nyendo

    Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
Back
Top Bottom