Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Upo uwezekano tukawa tunaona kuna zigo la misaada kwa nchi ya Tanzania kumbe fedha nyingi zinaishia mikononi mwa NGOs za mifukoni au magharibi hukohuko.
Mbaya zaidi kazi kubwa wanayoifanya ni makongamano,semina na hata kuanzisha programu "mizigo " ambazo haziwezi kuwa endelevu. Ni wakati sasa...
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake
Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu...
Natumai nyote haijambo bukheri wa afya. Kichwa cha habari husika.
Binti wangu ameletewa fomu ya kujiunga shule yenye lundo la options za vitabu. Naomba msaada ninunue vitabu gani muhimu zaidi kwa uchache. Mtaala mpya wa Computer Science kwa 5 na 6.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Mara nyingi nimesema humu JF kwamba katika hali ya kuwa na raisi toka Zanzibar, waziri wa fedha toka Zanzibar, waziri wa miundo mbinu toka Zanzibar nk, kumekuwa na jitihada za makusudi kuchukua mikopo mikubwa mingi mlengwa hasa akiwa ni Zanzibar. Mpango uliopo ni kwamba ule mgao wa...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akisema kuwa takwimu za miaka ya karibuni zinaonesha kuwa misaada kutoka nje (Official Development Assistance - ODA) imeendelea kupungua mwaka hadi...
Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika
2026 | Makala ya Uchunguzi
Uchunguzi Maalum
NA ITS MALEKOGJ.
malekoj27@gmail.com
0798888486
Ford Foundation:
Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa
Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025
Nchi Zilizohusika...
Rasmi, kuanzia kesho, Israel itapeleka misaada ya kibinadamu kwa angalau vijiji 3 vya Wakristo ambavyo havijahamishwa, vilivyoko kusini mwa Lebanon.
Kwa njia isiyo rasmi, baadhi ya misaada ilitolewa katika siku zilizopita.
Wakati huohuo magaidi wa Hezboulah wanaendelea kupata kipondo cha...
Brussels, Belgium
Makao Makuu ya
Umoja wa Ulaya / EU
KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ...
Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo.
Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
Hatari Wana jukwaa
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu.
Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu.
Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app...
https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY
Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025....
Hakuna ubishi wowote kuwa ushahidi unawaelemea na hatia ya kuua iko shingoni mwao imewakaba koo.....
Mkakakati ni kutafuta...
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.
Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo.
Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana.
Usiku wa oct 31...
Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa.
Wamesisitiza kuwa...
Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Pia Soma: Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi...
Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake
Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na elimu, wajawazito wanaohitaji huduma za afya ya uzazi, vijana wanaohitaji ufadhili wa elimu na...
Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi.
Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia?
Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki?
Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.