tumbo

Tumbo is a locality situated in Eskilstuna Municipality, Södermanland County, Sweden with 292 inhabitants in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Andaa tiba hii ya vidonda vya tumbo (ulcers) na ulete mrejesho

    mtomoko mjaafari kokwa la parachichi Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga wa kokwa la parachichi (Persea Americana) 500 gm3.Unga wa mizizi ya mjaafari...
  2. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

    Habari!? Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee. Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10. Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za hospitali mpaka dawa za asili. Dawa zote zilishindwa kunisaidia. Hivi karibuni nilikutana na jamaa fulani...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ujue Mmea wa Mjaafari tiba za Vidonda vya tumbo

    Kutokea uzoefu wa elimu ya mimea tiba na uhusiano wake na elimu ya viungo vya mwili vilipo(Anatomy) na elimu ya mwili unavofanya kazi (Physiology), Huu ni muunganiko wa maarifa mengi yaliyo katika taarifa za kisayansi. Kwa mfano leo tuelezee uwezo-tiba wa Mjafari (Zanthoxylum chalybeum), lakini...
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
  5. Wakufoji

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukila chakula cha mchana kabla ya saa sita tumbo huanza kusumbua kwa kuleta kiungulia ?

    Hivi kwa nini kula chakula cha mchana kabla ya saa sita hupelekea tumbo kushikwa na kiungulia ?.
  6. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo chanzo cha bawasiri

    🟢𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎 𝐒𝐔𝐆𝐔. ______________________________________ 🌻 Vidonda vya TUMBO SUGU vinakadiriwa kuwa chanzo kikubwa sana cha Bawasiri katika njia zifuatazo. Kwanza 👉Mgonjwa wa vidonda vya tumbo tafsiri yake huwa chakula hakisagwi vizuri tumboni na Vimeng’enya kama vile amylase, protease...
  7. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, Binadamu Hana Shukrani Kuliko Hata Tumbo?

    Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena, Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani? Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani? Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...
  8. Foffana

    JamiiForums Tanzania Uzi: Je, una uhakika una 'Vidonda vya Tumbo'? Prof. Janabi atoa ufafanuzi muhimu!

    Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔 Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
  9. X

    JamiiForums Tanzania China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la magereza kimya chenu, Lissu anaumwa tumbo au ?

    Nawauliza mpo kimnya mpk sasahivi hakuna KAULI inayoeleweka je lissu anaumwa kweli? Kaisha fariki? Jitokezeni toeni KAULI anaumwa au kaisha fariki?!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Lissu anaumwa sana Tumbo, nimeongea na mdogo wake

    "Leo wakati nakuja hapa nimepigiwa simu na mdogo wake Lissu, anaitwa Vicent, amenambia tangu jana Jioni, mwenyekiti wetu anaumwa sana Tumbo, linamkaba ila aharishi, tumesema tena na tena na tena Lissu akipata Shida haitaeleweka nchi hii, Hatutakubali, kiongozi wetu alichukuliwa akiwa mzima...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Padre Kessy: Tumbo halina dini, linamuabudu kila anayelilisha

    Wazee wanasema "Tumbo halina dini, huwa linamwabudu kila anayelilisha." kuna watu wanaabudu wanaowalisha wameshindwa kusema ukweli
  13. Mayova

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matibabu ya vidonda vya tumbo

    Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mtu akila chakula kizuri tofauti na mlo aliouzoea atapata shida ya tumbo?

    Kuna mama jirani hapa kaja kunitembelea Leo,huyu Mama kazi zake ni za saidia fundi, kufua pamoja kufanya usafi Kwa watu. Sasa Leo alichonishangaza ni alichoniambia, kuwa Jana alipikia watoto Wake ( wako below 11 yrs)chakula ambacho ni muda mrefu hawajala. Anaendelea kusema kuwa siku ya Jana...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Upigaji Risasi Waandamanaji ulifanana nchi nzima (Kichwa, Makalio& Tumbo)

    Ni kama wapigaji walienda kozi moja. Ukikosa ya kichwa utaambulia ya makalio au tumboni. RIP
  16. Seran

    JamiiForums Tanzania Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

    Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini idadi ya wanasiasa na wachumia tumbo watumiao dini imeongezeka?

    Kwanini tuna wachungaji, mashehe, wanasiasa na matapeli wengine kama hao barani Afrika kuliko mabara yaliyoendelea kiuchumi? Je, wingi wa makundi haya unatufundisha au kututahadharisha na nini? Kwanini Afrika ina makanisa mengi sambamba na watu maskini wengi? Kwanini nchi zilizoendelea zina...
  19. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo

    Chanzo Kikuu: # Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac). # Dalili zake ni pamoja na:- Maumivu ya tumbo sehemu ya juu. Gesi Kujaa tumboni au kuvimbiwa mara kwa mara. KuWa na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Punguza tumbo na mafuta mwilini

    Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku? Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe mwanaume au mwanamke, unaweza kuona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi. Kinywaji cha Asubuhi...
Back
Top Bottom