itikadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  2. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mafunzo ya Itikadi kwao

    Hili genge a wahuni bwana
  3. Kaab msafi

    JamiiForums Tanzania Itikadi 6 za Uislamu Zinazomfanya Muislamu Kuishi Bila Msongo wa Mawazo/Hisia(Stress-Free Life)

    Dunia ya leo imejaa hofu. Wengine wanaogopa kesho, wengine kifo, wengine vita na majanga, wengine uchumi, na sasa wengine wanaishi kwa hofu ya AI kuchukua nafasi za ajira za binadamu. Lakini Muislamu anaishi katika dunia hiyo hiyo akiwa na msingi unaoupa moyo wake utulivu: imani. Kuna misingi...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  5. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, kushikamana na Sunnah ni Itikadi kali au ndio njia iliyonyooka?

    Shukrani zote anastahiki Allah Mola mlezi wa walimwengu wote Swala na salamu zimshikie kipenzi chetu mtume Muhammad swalallahu alayhi wasalam na jamaa zake na maswahaba zake na watakaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya mwisho. Ama baada ya hayo; Katika zama hizi, watu wengi wamekuwa wakiwaita...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania ISIS walivyofanya mauaji ya wakristo nchini Congo na, 2025

    === Islamic State massacres Christians in front of their families At least 60 people killed in...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani ukawa unalaani vikali UZAYUNI (zionism) huku unashibikia JIHAD. Point yako kubwa ni ipi haswa, unalenga utu au itikadi?

    Logic ndio kitu hamna. Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku ukishabikia jihad ya kukata vichwa watu kaskazini mwa naijeria then wewe sio solution ya tatizo...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Itikadi kali wamjia juu salah kuwatakia watu Krismasi njema

    Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kijana kama unataka ujijenge katika misingi ya masculinity na kutokubebeka na itikadi za kufikirika na za kisasa, basi fatilia madini ya watu hawa

    1: JORDAN PETERSON https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar 2: BEN SHAPIRO https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM 3: CHARLIE KIRK (RIP) https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3 4: JOE ROGAN...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  17. H

    JamiiForums Tanzania Tujiepushe na Udini, Ukanda, Ukabila na Itikadi Kali za Kisiasa* 🇹🇿

    Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja. Kwa nini tunapaswa kuviepuka: ✅ Udini unavunja...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  19. Stability

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka yule manzi wa "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa)" , jana kanifanyia surprise

    Watoto wa kishua bwana kumbe wanajua kupika
Back
Top Bottom