chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kutosha unaonyesha dini sio chanzo cha maadili ya dunia

    Japo watu wengi wa dini huwa wanaamini dini ndiyo chanzo kikuu cha maadili duniani na kwamba dunia bila dini itageuka kuwa uwanja wa fujo ukweli wa historia unaonyesha tofauti kabisa. Tukijikita katika dini kubwa tatu za Uyahudi, Ukristo na Uislamu zilizoanzia mashariki ya kati utagundua mambo...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

    Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K Msosi 20K Nauli 5K Asante kwa kuja 30K Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo. Kwanini...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji. Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

    Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni: 1. Umaskini 2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii? 3. Malezi ya hovyo kwa watoto? 4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari? 5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine. Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
  7. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukimya wa Vyombo vya Habari Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nini chanzo?

    Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko chanzo cha mgogoro wa Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita

    Wakati Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Pasikas Mulagiri akisema chanzo cha mgogoro uliotokea leo Januari 22, 2026 katika mgodi wa Msasa, Runzewe mkoani Geita umesababishwa na kujaa kwa maji yaliyoletwa na mvua, Ofisi ya Ofisa Madili Wilaya ya Mbogwe amesema chanzo ni mvutano unaohusisha kiwango cha...
  10. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Uhasama baina ya Saudi Arabia na UAE

    Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au ni ya juu juu. Makala hii inalenga kueleza kwa ufupi na kwa mtazamo wa kimaudhui hatua kuu...
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Tanzania yauza Afrika Mashariki kuliko inavyonunua

    Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo. Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chanzo, Sababu na Athari za kuanguka kwa Dola la Kiislamu

    Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi. Jibu fupi Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote. Dola ya Kiislamu ilianguka kwa awamu, na pigo kubwa la kwanza lilitoka kwa Wamongolia, kisha mwisho rasmi wa Ukhalifa...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ugomvi wa Marekani Vs Venezuela

    Hiko hivi Sababu kuu nyuma ya ugomvi wa U.S. na Venezuela ni Mafuta. Venezuela ina akiba kubwa ya mafuta duniani. Malighafi hii ni nyingi sana kwa uzalishaji wa bidhaa za wese (hasa kwa ukanda wa Americas). Kwa nini hili wese linaleta shida: Kwanza mafuta = economic power, Mafuta =...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

    Leo tarehe 3/Januari/2026, vyombo vya habari vya Magharibi vimetoa taarifa ya kushambuliwa kwa Caracas. Mshambuliaji ni Washington. Wanajumuiya wenzangu wa Jukwaa hili maridhawa, ninaomba mwenye nondo za chimbuko la mgogoro huu azishushe hapa ili sote tupate maarifa. By the way...hivi kuna...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa walikuwa wanafanya Autopsy(Upasuaji wa maiti kujua chanzo cha kifo) kabla ya wazungu kuja Afrika

    Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916 Mazishi Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
  18. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Robert Hariel Mtibeli kusema kwamba malezi mabovu ndiyo chanzo cha matatizo yetu na siyo CCM ni tusi kwa Watanzania

    Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo. Kusema kwake huko ni jaribio la wazi la kuitengenezea CCM kivuli cha kujificha kwa kukosa kuwajibika kwa wananchi...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameunda Tume ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri

    Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
  20. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo 2 za Bongo Fleva zilikuwa mbele sana ya wakati: "Nang'atuka" na "Nini Chanzo"

    Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka 2. Juma Nature - Nini Chanzo
Back
Top Bottom