Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore...
Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe.
Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
Siku 80 tu zimebaki kabla ya wachagga kwenda kuhesabiwa huko kilimanjaro .
Tabia ya wachagga kurudi kwao kwa gharama yeyote imekuwa kivutio na inasemekana kuna makampuni ya Utali yameanza kupata booking toka nje ili "wazungu waje kuona wachagga wakirudi kwao" kama wanavyokwenda Koga Tende...
Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa.
Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha.
Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho.
Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
TAARIFA KWA UMMA
KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu wanachama, viongozi na umma kwa ujumla kuwa Kamati Kuu ya Chama itafanya kikao maalum kesho, Jumamosi tarehe 29 Agosti 2026.
Kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa Makao Makuu...
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.
Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika Ubalozi wa Uingereza nchini Mongolia. Kulia ni Mwakilishi Maalumu wa Uingereza nchini Mongolia Bi...
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili..
Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua unamfitinisha Samia , na Genge la Samia wanaweza kutengeneza Picha ya Wananchi kuamin kua "Wewe ni mmoja...
My Take
Watu wanaojiita wasomi wengi wao wamejaza takataka kichwani na hawana uwezo kabisa wa kufikiri.
https://www.instagram.com/p/DcO_yRZlmax/?igsh=OTUyYXZsZTc4MGlw&igsi=OTUyYXZsZTc4MGlw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.