Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje?
Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
Katika miaka 65 ya utawal wake sifa na majivuno ya CCM haikupaswa kuwa kumiliki dola na majeshi yake na kuwapakiza wanachama wake masikini kwenye mabasi kuhudhuria mikutano ya chama chao.
Katika miaka 65 ya kuwepo madarakani wastani wa kipato cha Watanzania ni duni sana kwa wastani wa $1,300...
Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii.
Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga.
.
Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima...
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri.
Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau...
Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana.
Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini.
Nchimbi aachiwe afanye...
Wanabodi
Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.
Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu...
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto ,kwa mada zilizopo sasa🤣🤣
Hahaha ngoja nifurahi kidogo nikishushia na funda la bia😅.
Nimekuwepo humu toka 2012, kwa mara yangu ya kwanza , ila nakuta members wa 2015 ana laumu mchango wa JF wa gen z😅.
Tofauti na...
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali.
Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake.
Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
Japo wasioamini mungu hukubali tu kuitwa atheists (wasioamini mungu) ila kiuhalisia ni ujinga tu wa binadamu ndio ulipelekea kuwepo hili jina au hii lebo.
Jiulize kwa nini hakuna watu wenye lebo maalumu au wanaitwa wakataa/ wasioamini uchawi, wasioami spiderman, wasioamini uwepo wa sungura...
Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama
Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA?
Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia.
Ili kujiipendekeza ni...
Ndiyo maana ,tuna -;
1. Baba wa Taifa.
2. Rais -amiri jeshi mkuu.
3. Mwenyekiti wa chama.
4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi)
5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili mradi kutokuvunja Sheria za nchi (zilizosimikwa)
USHAURi WA BURE.
Katafuteni Taifa ambalo...
Prof Issa Shivji ameandika makala muhimu sana ambayo kwangu mimi ninaiona kama ni Lecture kwa wanafunzi wa sheria.
Amezungumzia masuala ya msingi sana namna mtu anavyopaswa kukamatwa kushitakiwa na hata kushitakiwa mahakamani.
Makala ina kichwa cha habari terrorising academic in Tanzania. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.