iraq

Iraq (, (listen) or ; Arabic: ٱلْعِرَاق‎, al-ʿirāq; Kurdish: عێراق‎ Êraq), officially the Republic of Iraq (Arabic: جُمْهُورِيَّة ٱلْعِرَاق‎ Jumhūrīyah al-ʿirāq; Kurdish: کۆماری عێراق‎ Komarî Êraq), is a country in Western Asia, bordered by Turkey to the north, Iran to the east, Kuwait to the southeast, Saudi Arabia to the south, Jordan to the southwest and Syria to the west. The capital, and largest city, is Baghdad. Iraq is home to diverse ethnic groups including Arabs, Kurds, Chaldeans, Assyrians, Turkmen, Shabakis, Yazidis, Armenians, Mandeans, Circassians and Kawliya. Around 99% of the country's 38 million citizens are Muslims, with tiny minorities of Christians, Yarsans, Yezidis and Mandeans also present. The official languages of Iraq are Arabic and Kurdish.
Iraq has a coastline measuring 58 km (36 miles) on the northern Persian Gulf and encompasses the Mesopotamian Alluvial Plain, the northwestern end of the Zagros mountain range and the eastern part of the Syrian Desert. Two major rivers, the Tigris and Euphrates, run south through Iraq and into the Shatt al-Arab near the Persian Gulf. These rivers provide Iraq with significant amounts of fertile land.
The region between the Tigris and Euphrates rivers, historically known as Mesopotamia, is often referred to as the cradle of civilisation. It was here that mankind first began to read, write, create laws and live in cities under an organised government—notably Uruk, from which "Iraq" is derived. The area has been home to successive civilisations since the 6th millennium BC. Iraq was the centre of the Akkadian, Sumerian, Assyrian, Chaldean Empire, and Babylonian empires. It was also part of the Median, Achaemenid, Hellenistic, Parthian, Sassanid, Roman, Rashidun, Umayyad, Abbasid, Ayyubid, Seljuk, Mongol, Timurid, Safavid, Afsharid and Ottoman empires.The country today known as Iraq was a region of the Ottoman Empire until the partition of the Ottoman Empire in the 20th century. It was made up of three provinces, called vilayets in the Ottoman language: Mosul Vilayet, Baghdad Vilayet, and Basra Vilayet. In April 1920 the British Mandate of Mesopotamia was created under the authority of the League of Nations. A British-backed monarchy joining these vilayets into one Kingdom was established in 1921 under Faisal I of Iraq. The Hashemite Kingdom of Iraq gained independence from the UK in 1932. In 1958, the monarchy was overthrown and the Iraqi Republic created. Iraq was controlled by the Arab Socialist Ba'ath Party from 1968 until 2003. After an invasion by the United States and its allies in 2003, Saddam Hussein's Ba'ath Party was removed from power, and multi-party parliamentary elections were held in 2005. The US presence in Iraq ended in 2011, but the Iraqi insurgency continued and intensified as fighters from the Syrian Civil War spilled into the country. Out of the insurgency came a highly destructive group calling itself ISIL, which took large parts of the north and west. It has since been largely defeated. Disputes over the sovereignty of Kurdistan Region continue. A referendum about the full sovereignty of Kurdistan Region was held on 25 September 2017. On 9 December 2017, then-Iraqi Prime Minister Haider al-Abadi declared victory over ISIL after the group lost its territory in Iraq.Iraq is a federal parliamentary republic consisting of 19 governorates (provinces) and one autonomous region (Kurdistan Region). The country's official religion is Islam. Culturally, Iraq has a very rich heritage and celebrates the achievements of its past in both pre-Islamic as well as post-Islamic times and is known for its poets. Its painters and sculptors are among the best in the Arab world, some of them being world-class as well as producing fine handicrafts, including rugs and carpets. Iraq is a founding member of the UN as well as of the Arab League, OIC, Non-Aligned Movement and the IMF.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iraq yazuia zaidi ya Bilioni 39 na dhahabu za mbunge Alia Nassif kufuatia kampeni ya kuzuia rushwa nchini humo

    WATU wana ishi Kuna yule mshamba wa Singapore anatukana watu humu hua namdharau tu dollar 12 elfu bro sio hela hiyo Kwa nchi za nje ungekua bongo walau. Huyu dada kajua kitumbua pesa dadeki hallooooo, wanangu eehh ukipata short cut pita Mzee maisha ya juhudi na bidiii achia wakongwe. Pesa tu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Senegal 5-0 Iraq | World Cup 2026 | BMO Field | 26 Juni, 2026 | 4:00 Usiku

    Senegal na Iraq Zatafuta Ushindi wa Kwanza Kombe la Dunia 2026 Senegal na Iraq zitashuka dimbani zikiwa na lengo la kumaliza hatua ya makundi ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kwa ushindi, katika mchezo wa Kundi I utakaopigwa mjini Toronto. Timu zote mbili bado hazijapata ushindi kwenye mashindano...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Ufaransa 3-0 Iraq | World Cup 2026 | Lincoln Financial Field | Juni 23, 2026| Mbappe anaendelea kukiwasha

    Kombe la Dunia linaendelea tena leo ambapo Ufaransa watakuwa uwanjani dhidi ya Iraq Naamini chama langu France litamkana sana mpenda vita Iraq Soma Pia: FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026 Ingawa walionyesha kiwango kisichoridhisha katika kipindi cha...
  4. political monger senior

    JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Iraq wa dola millioni 191 kwa Tanzania wazua mjadala mkubwa nchini Iraq

    Nyaraka rasmi kutoka Wizara ya Fedha ya Iraqi zinaonyesha kuwa Iraq iliidhinisha mikopo ya jumla ya dola milioni 191 kwa Tanzania. Takwimu hii ilithibitishwa Aprili 2026 na Mfuko wa Maendeleo ya Nje wa Iraq. Kwa jumla, vifurushi vya usaidizi wa kifedha vya Iraq vilifikia dola milioni 254, ambazo...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Aisee yani tulikopa mpaka nchi ya IRAQ na tuna daiwa pesa

    Hii nchi hipo siku tutasikia somalia tulienda kukopa pesa. Hapa nacho kiona tuna subiri majini nao waje kuleta shutuma zao nao walikopwa na huyu mama pesa. Hivi tumefikia steji mbaya sana na pesa zote zimefanya nini ?.
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa IRAQ afichua mkopo wa dola milioni 191 kwa Tanzania uliotolewa na serikali iliyopita

    Tanzania inatajwa kuwa na deni kubwa zaidi miongoni mwa nchi zilizotajwa, ikidaiwa dola za kimarekani milioni Mataifa mengine yaliyotajwa ni Uganda (dola milioni 15), Jamhuri ya Afrika ya Kati (dola milioni 7), na Niger (dola milioni 4),. Washiriki wa mazungumzo hayo wanaonyesha mshangao na...
  8. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Israel imejenga kituo cha kijeshi cha siri kwenye Jangwa huko Iraq!!

    Israel ilianzisha kituo cha siri cha kijeshi katika jangwa la Iraq ili kusaidia kampeni yake ya angani dhidi ya Iran, gazeti la Wall Street Journal linaripoti, likiwanukuu maafisa wa Marekani na vyanzo vingine. Kulingana na vyanzo, Israel ilijenga kituo hicho muda mfupi kabla ya vita kuanza...
  9. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania How UAE and Israel “stole” rains from Jordan, Iraq and Iran

    In the year 2011, the former Iranian president Mahmoud Ahmadinejad said: "They are stealing our rains." No one believed him. How Were the UAE and Israel Stealing Jordan's, Iran's, and Syria's Rain? The theory circulating to explain the increase in rainfall in Iran, especially after the recent...
  10. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds awasili Iraq kwa ziara rasmi

    Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewasili Baghdad na amepangwa kukutana usiku wa leo na viongozi wa makundi ya Washia kujadili kutatua migogoro yao. Katika wiki mbili zilizopita, kutokubaliana miongoni mwa viongozi wa Washia...
  11. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitoa taarifa kuhusu Iran

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya: Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran. Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran. Kwa uratibu kamili kati yangu na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Marekani ndio inapokea pesa za mauzo ya mafuta ya Iraq! Sasa hii ina tofauti gani na ukoloni?!

    Nilikuwa siwaelewi watu waliokuwa wanasema Marekani iliivamia Iraq kwa sababu ya mafuta, huenda pia kwa sababu wao walikuwa wanaongelea uporaji wa mafuta kana kwamba makampuni ya Marekani yanachimba mafuta halafu yanajiuzia tu mafuta na kuondoka na pesa kubabe au kifisadi wanavyojisikia...
  13. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iraq imeamua kuungana na Iran kupigana na Marekani

    Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo. Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo...
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndege ya Kijeshi ya Marekani yaanguka Iraq

    Jeshi la Marekani limethibitisha Ndege yake ya Kijeshi kuanguka nchini Iraq. Ndege hiyo ya kijeshi ya KC-135 ilianguka baada ya ajali kati ya Ndege mbili. KC-135 ni Ndege iliyotengenezwa na Boeing ambayo hutumiwa kusafirisha na kuhamisha Mafuta. Makao Makuu ya kanda ya Jeshi la Marekani...
  16. Yesha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Economic Impact of U.S.–Israeli and Iraq War Dynamics on Africa

    1. Energy Prices: Africa as a Price Taker, Not a Price Maker Ongoing conflict involving the United States and Israel, combined with the long shadow of the Iraq war, has repeatedly destabilised Middle Eastern oil supply routes. For Africa, the economic effect has been blunt and immediate...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iraq imetangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah

    Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA). “Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni...
  18. Richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo ni kwamba Iran sio Libya wala Iraq na si Venezuela. Na Itasumbua sana kuuangusha utawala wa Iran kwa sasa

    Mashambulizi yalofanywa na Marekani ikisaidiwa na Israel, yamepiga katika miji 20 kati ya miji 31 ya Iran na hadi sasa hakuna idadi kamili ya watu walokufa. Pia mitandao ya internet yote imezimwa. Mjini Tehran maeneo yote nyeti ikiwemo wizara ya ujasusi yote yameshambuliwa na ndege za kivita za...
  19. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Historia ni Albamu ya Zamani, Hata hii ya Marekani kukamata Marais wa nchi nyingine si picha ngeni

    Historia ni kama albamu ya zamani; hakuna kitu kipya, ni picha zinazojirudia. Hata kukamatwa kwa Nicolás Maduro na Marekani wala si suala geni kihivyo. Kurasa zote za habari hivi sasa zinafuatilia kilichotokea Venezuela. Wengi wameliona tukio hili kama la kushangaza baada ya Rais wa Marekani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutoka kwenye hii video ya mwanajeshi wa Iraq miaka ya 2000 mwanzoni

    Kwenye video hii anaonekana mwanajeshi akituma salam za mwisho kwa familia yake baada ya uwanja wa mpambano kuwa wa moto , mpambano uliohusisha vikosi vya serikali dhidi ya makundi binafsi ya kujihami , huyu mwanajeshi aliamua kuaga familia yake baada ya kuwa wamezingirwa na vikundi binafsi vya...
Back
Top Bottom