ujamaa

Ujamaa (lit. 'familyhood' in Swahili) was a socialist ideology that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after it gained independence from Britain in 1961.More broadly, ujamaa may mean "cooperative economics", in the sense of "local people cooperating with each other to provide for the essentials of living", or "to build and maintain our own stores, shops, and other businesses and to profit from them together", as in Kwanzaa.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    natafuta mpendwa either katka mahusiano urafk ujamaa udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  2. Lycaon pictus

    Nyerere akieleza kwanini ujamaa ulifeli

    https://youtu.be/JGzC8AhERU8?si=Jen_Ou1-W6qGL51S
  3. Mwande na Mndewa

    CCM Ujamaa vs CCM Upebari

    CCM imara ni imani ya kiitikadi ndani ya mioyo ya Wananchi Watanzania,Awamu ya kwanza ya CCM iliyoongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kijamaa,kiongozi wa CCM akifanya ziara eneo fulani, basi Wananchi wanyonge walioonewa waliamini amekuja mkombozi wetu, na kwa hakika...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
  5. MALCOM LUMUMBA

    Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  6. SYLLOGIST!

    Echo of Ujamaa: Unravelling Nyerere's Legacy Amidst Silence

    Straight to the point There has been several claims laid out in many posts and threads herein, claiming "Many people died" During the resettlement of citizens- "Walikufa raia wengi sana wakati wa Vijiji vya Ujamaa" Did many people die Under Ujamaa? Despite claims, where is the concrete...
  7. Logikos

    Ujamaa wa Tanzania na Dini (Hotuba ya J. K. Nyerere - 1970)

    HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani); Tunaulizana Habari za Maji, Maharagwe na Mabarabara..... Lakini hatuulizi Kabisa kama ipo Pepo...
  8. F

    Kuhusu Nyerere kutangazwa mtakatifu: Kanisa Katoliki mnataka watu wamwige Nyerere kwa lipi hasa? Umaskini, udikteta, ujamaa, ucheshi au nini hasa?

    Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
  9. KoffiYardley

    Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya miaka 60?

    Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya mika 60+ ya Kujijengea uwezo? Dhana ya kuacha kujitegemea wenyewe na mbadala wake ukiwa ni "kuendeshewa" biashara zetu kama usafiri, bandari na huduma zingine kwa kisingizio chochote kile imesheheni tabia za kijangwani...
  10. D

    CCM imekosea sana kubadili sera ya Ujamaa na kuhamia Ubepari

    LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jambo jema watu wamoja tena ndugu waliokuwa wametengwa na...
  11. Mhafidhina07

    Tuchague Ubepari au Ujamaa sababu hatuwezi kuishi katika itikadi 2 tofauti

    Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism. Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au...
  12. Mageuzi92

    Elimu ya ujamaa na kujitegemea ni Kwamba haiwezi kurudishwa ili kukiokoa kizazi cha Sasa?

    Nilikuwa sijawa mwanafunzi kipindi Cha Nyerere na nilikuwa Bado sijazaliwa . Tukijaribu kuangalia product za elimu ya Nyerere ambao wengi wao ni wazazi wetu utagundua Kuna utofauti mkubwa kiutendaji (nikimaanisha product Zina skills nyingi za kujitegemea kuliko tulivyo Sasa hivi). Vya kale...
  13. jingalao

    Ujamaa mamboleo ni fikra mpya inayotakiwa kuungwa mkono

    Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo. Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea. Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
  14. Chawa wa lumumbashi

    Ujamaa umewadumaza waTanzania

    Sijui nani nimlaumu Rais Mao au rais wa kwanza wa Tanzania ila ok sawa nafikiri ni rais kwanza au waTanzania wenyewe ndiyo wamedumaa kutokana na ufinyu wao wa akili au ni unafiki wao wa kiwango cha lami. Nakiri ujamaa waTanzania wengi umewadumaza mpaka imefikia waTanzania wengi wao shughuli yao...
  15. May Day

    Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  16. Lycaon pictus

    Ujamaa uliofanywa na Nyerere ulikuwa umepingwa vikali sana na Karl Marx

    Habari. Juzi kati nilikuwa nasoma na Kufasiri kitabu cha Karl Marx na Friedrich Engels, The Communist Manifesto. Kwenye kitabu hicho Marx anaeleza hatua hususa za ukuaji wa makabwela hadi kuja kuuondoa ubepari. Anasema kuwa ulianza ukabaila. Katika huu ukabaila kulikuwa na wajasiriamali wa...
  17. Jerlamarel

    Hebu tuwe realistic, haya mambo yalikuwa yana nafasi enzi za ujamaa sio dunia ya sasa

    Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani. Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa. Ni lini viongozi wetu watakuwa...
  18. Mwl Athumani Ramadhani

    Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

    Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao. Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
  19. Forrest Gump

    Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao...
Back
Top Bottom