Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema?
Je,
baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi...
Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma.
Je,
kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
Je,
Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama?
In fact,
Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?
Nani anaweza kua changamoto zaidi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amevaa Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira
Hahaaha Mzee yaani mmekua madarakani miaka 65 hamjaweza kupelekea watu barabara wala maji..
Alafu unasema Mimi miaka mitano nilishindwa? Hebu mzee wangu tuliza panic kidogo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilwa, Abdshakuru Abubakari Mohammed amesema kwa sasa CHADEMA inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama.
"Leo tunapoizungumzia Chadema tunaamini sisi ni chama ambacho kinafuata katiba na sheria lakini mpaka sasa ndio chama...
Duru zinaeleze kua kwasasa mwenyekiti huyo mstaafu ana ratiba ngumu binafsi ya ng'ambo ya nchi, na mara atakapo kua mazingira ya nyumbani, basi ziara hiyo maalumu ya makamu mwenyekiti wa chadema taifa itafanyika kadiri ilivyopangwa.
Je,
ikiwa atafanya hivyo,
unadhani agenda kuu ya makamu...
Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya kukiuka katiba na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa yake binafsi na familia yake...
baraza
chadema
hatma
kamati
kamati kuu
kamati kuu ya chadema
kuu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekitiwachadema
mkutano
mwenyekitimwenyekitiwachadema
nafasi
taifa
wajumbe
Baada ya kujizolea umaarufu mkubwa zaidi hasa baada ya tukio la kuchoma vitenge mwaka 2024, hatimae Baraza la Wanawake Chadema taifa BAWACHA wanajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote kuanzia sasa, dhidi ya tuhuma mbalimbali za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama zinazo...
Wana chama wengi wa chadema,
pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa.
Na,
kwa mvurugano wa chini kwa chini...
baraza
chadema
fedha
hali
kuu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekitiwachadema
mwenendo
mwenyekitimwenyekitiwachadema
taifa
tuhuma
tuhuma za ufisadi
uchangiaji
ufisadi
Je,
anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili?
Kwa maoni yangu,
licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
baada
chadema
gani
hali
kisaikolojia
kutrend
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekitiwachadema
mitandaoni
mwenyekitimwenyekitiwachadema
sana
taifa
tuhuma
ufisadi
zake
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
Kwasababu ni wazi kwenye baraza kuu la Chadema taifa lililoitishwa kufanyika mwezi September 2026, pataibuka mambo mazito na maazimio magumu sana ambayo yanaweza kupelekea kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa Chadema taifa, ambao maamuzi yake, yanaweza kupelekea some political casualties kwa...
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.
Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.
Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye...
Kama ameshindwa mwenyewe kutumia maarifa, nguvu, akili na bidii yake alio jaaliwa na Mungu kujikomboa kiuchumi yeye binafsi na familia yake,
na badala yake ana fisidi fedha za chama kujikomboa kiuchumi, je, mtu huyo anafaa kudanganyana watu kweli kua anaweza kuwakomboa kisiasa na kijamii?
Mtu...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hali iliyomfanya kuona hana sababu ya kuendelea kuwa upande wa...
Kupitia akaunti yake ya X, Hilda ametoa taarifa akidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza amekamatwa
=============
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi jioni hii, kapelekwa kituo cha Polisi Central Mwanza.Polisi wamembambika kesi wanadai kaleta Vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.