unyonyaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Tumegeuza Bargaining Power kuwa unyonyaji wa watu wanaotafuta riziki

    Kadri muda unavyoenda ndivyo ninavyozidi kuelewa namna uchumi na tabia za wanunuzi zinavyobadilika. Kwenye biashara kuna dhana mbalimbali zinazofundishwa, moja wapo ikiwa ni "Ignorance of Customer." Kwa lugha rahisi, dhana hii inahimiza mteja kufanya utafiti kabla ya kununua bidhaa au huduma...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha Wakata tiketi wa Mwendokasi: Kuna unyonyaji na ukiukwaji wa haki za Wafanyakazi

    Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu. Hata...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Unyonyaji Riba Apps za Mikopo: Flying Shilling Hatari!

    Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4 na urudishe ndani ya siku sita ukichelewesha watu wanapewa vitisho tunaomba na BOT wajulishwe...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kupuuzwa kwa uwepo wa watumishi wa kujitolea baadhi ya ofisi za Serikali; Hususani katika kupata stahiki na posho

    Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Msasa Gold Mine: Wachimbaji tumechoka unyonyaji. Kuna kiongozi anatamba akidai ana kinga ya Waziri wa Madini

    Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au kuibuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2025, ukiwa unaendeshwa kama rush. Awali, baada ya uvumbuzi wa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mmeua, mmeteka, Ufisadi, wizi, unyonyaji, MME dhurumu haki za watu kuishi. Kwa hiyo vijana waopinga aya ndo Mnataka tuwaone Wabaya?

    Serious mnataka hawa vijana ndo tuwaone wabaya wanaopinga haya mambo wizi, Ufisadi, Utekaji, mauaji, rushwa uduma mbovu kwenye office za Umma ubakaji demokrasia. Vijana waopambana kupinga haya ndo Mnataka tuwaone ndo wabaya?
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii itakua ni nchi gani?

  8. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  11. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  12. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
  13. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini unapotaka kuchukua mkopo unyonyaji ni mkubwa sana

    MABENKI YETU TZ JAPO YAPO REGULATED LAKIN NAZAN KUNA WIZI UNAENDELEA HASA KWENYE MIKOPO Katika hali ya kawaid nmeihash familia mkoa x kwend mkoa B na huko tayari nilikuw kwenye hatua za awali san katika ujenzi nikaona kulko kulpa pango la Tshs 150,000 hadi Tshs 200, 000 nkasema ngoja nikasake...
  14. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Huu ni uonevu na unyonyaji

    HESLB Tanzania tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu hawataweza kumpa pesa ya kujikimu Angejua wanafunzi wanachopitia hata hyo boom haitoshi asingeongea...
  15. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya mifumo ya Elimu tuondokane na unyonyaji kwa wakulima

    Inafahamika ni gharama sana kwa sisi kuanzisha mitaala yetu ,lakini ni dhahiri na ni wazi kuwa tutakapo iianzisha na kuisimamia itakuwa ni yenye Tija. Tuanze na ★★Elimu ya Sekondari ya juu yaani kidato cha tano na sita. Wazazi ambao wengi ni wakulima hipa ada. Vijana hao wakifauru huendelea...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kusafisha Mwakala wa Ajira kukomesha unyonyaji unaofanywa kwa wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi

    Shadrack Mwadime Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi, amesema Katibu wa Wizara ya Kazi Shadrack Mwadime. Mwadime amesema...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

    Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi! Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11% Ukiwaambia wakupunguzie...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  20. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kufikia Haki, Uhuru, na Amani ya Kweli: Vita Dhidi ya Ukandamizaji na Unyonyaji

    KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
Back
Top Bottom