nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. R

  Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

  Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
 2. muafi

  Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

  Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
 3. Sauti ya amani

  SoC04 Kuanzishwa kwa kisimbuzi kimoja kitakacho kusanya channel za ndani na nje ya nchi

  Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo mtumiaji alipaswa kuunganisha runinga yake na antena ili kupata matangazo ayo...
 4. S

  Nina mpango wa kusoma PhD nje ya nchi

  Guys nina plan ya kusoma PhD nje ya nchi lakini nikitegemea zaidi nipate udhamini. Ningependelea kusoma nchi za ulaya au America kutokana na quality ya elimu yao pamoja na fursa, haswa Nordic countries. Najua umu kuna watu wanaelewa vizuri wengine wana practical experience namna ya kupata...
 5. MK254

  Trump aahidi kuwatimua waandamanaji, kuwarudisha kwao

  Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni.... “One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As soon as they hear that, they’re going to behave,” Trump said on May 14, according to donors at the...
 6. Sauti Moja Festival

  Faida za Wasanii na Nchi katika Ziara za Rais Nje ya Nchi

  Habari wana-JF, Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo: Faida kwa Wasanii Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
 7. BARD AI

  Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

  Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
 8. G

  Wafanyabiashara tunaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi tunakatishwa tamaa kwa rushwa, hadi kujuana na wakubwa na umafia uliokithiri, Kuna mbadala?

  Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k. KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO Ni hadi uunge chain ili uuze nje sio kienyeji tu, kuna vyama vinaundwa vya watu wanaouza nje lakini...
 9. A

  KERO Wizara ya Afya inawahujumu wanafunzi walioko masomoni nje ya nchi

  Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program), lakini nyuma ya pazia wanafunzi hao wanateseka haswa. Mimi nafanya kazi moja ya nchi huku ughaibuni...
 10. S

  Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

  Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
 11. Offshore Seamen

  Muitikio mdogo wa kusafirisha bidhaa nje ya nchi (Exportation)

  Tqnzania tuna bidhaa nyingi za kilimo,uvuvi,misitu na madini zinazo hitajika nje ya nchi. Kwenye kuagiza(Import) tumekuwa na kiwango kikubwa cha kuingiza bidhaa kuliko kusafirisha nje (export). Kwenye kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja Tanzania (Import) wafanyabiashara na waagizaji wa...
 12. HUKU ABROAD

  Hii inawahusu wanaopenda kusafiri nje ya nchi

  Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad. Kwa wenye...
 13. B

  CRDB Bank Foundation, SUGECO kuwezesha mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu 2,500 nje ya nchi

  Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
 14. Meneja Wa Makampuni

  Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

  Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka. Sijasomea uchumi kokote Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu Sarafu yetu inaporomoka. Hatuuzi nje. Hatupati dolla nyingi. Matokeo yake dolla inakosekana sokoni. Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi. Matokeo yake ya...
 15. 4

  Nina mpango wa kuwashitaki wateuliwa wa CCM ndani na nje ya nchi, Mungu nisaidie

  Wakuu JF Mungu amebariki. Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM. Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie. Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge. Thanks
 16. The Sheriff

  Serikali ya Kenya kusafisha Mwakala wa Ajira kukomesha unyonyaji unaofanywa kwa wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi

  Shadrack Mwadime Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi, amesema Katibu wa Wizara ya Kazi Shadrack Mwadime. Mwadime amesema...
 17. BARD AI

  Rais wa Nigeria afuta safari za Viongozi za nje ya nchi kwa miezi 3 ili kubana matumizi

  NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
 18. Blender

  Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

  Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
 19. Equation x

  Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

  Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje. Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
 20. DENLSON

  Kusafirisha viazi mbatata nje ya nchi

  Habari wana Jamii Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
Back
Top Bottom