• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Mwl.RCT
Reaction score
6,436

Profile posts Latest activity Postings About

 • Ngisibara
  Mkuu naomba msaada, decoder/receiver FTA ipi inanifaa hapa Mkuranga, na je ni bei kiasi gani? Wapi ntaipata? Fundi atahitaji Tsh ngapi? Tayari nina Dish nyumbani
  Mwl.RCT
  Mwl.RCT
  Chukua QSAT q28g kwa tsh 285'000 , au ALPHABOX X4 kwa tsh 185'000

  Zote ni mpeg4 decoder, zote zinasupport powervu + biss key channel

  Hivyo utapata package iliyokamilika.

  WAPI ZINAPATIKA: Ninazo tumia hii namba 0717 54 57 62 kuwasiliana nami ili nikupe decoder.

  Fundi atahitaji tsh 75'000 kukufungia LNBF tatu (3)
  M
  Habari mwalimu, je waweza kunisaidia ku-unlock airtel mobile broadband Modem aina ya alcatel onetouch x230e yenye Firmware version : IX1B5200XX na IMEI : 867612004083501. Nitashukuru sana
  Coping Strategy
  habari mwalimu, za juapili, nilikua na shida na setup za youwave na crack ni install kwa PC, msaada wako mkuu.
  1
  habali mkuu ile site umenitumia jana ya q23 nimeifuta kwa bahati mbaya pse resend to me
  thnx
  F
  pls help me with the unlock code for this ALCATEL airtel mobile broadband modem ce0700 tct mobile limited BKX one touch X230E 01 Z128 X230E-2LATTE3-1 IMEI: 867612008738290
  F
  pls help me with the unlock code for this ALCATEL airtel mobile broadband modem ce0700 tct mobile limited BKX one touch X230E 01 Z128 X230E-2LATTE3-1 IMEI: 867612008738290
  F
  kaka habari yako sorry nilikuwa ninahitaji kuagiza kitu Ebay sielewi hasa kujisajili na paypal
  kazaula0808
  kk nimefanikiwa kuiinstall kespersky but nashindwa kuireset coz sion iyo kespersky system tray
  naomba unielekeze vizuri
  Rutayuga91
  Hiv hizo vocha unauza kwa special members au mtu yeyote?!! Coz npo interested na hiyo service!
  M
  nilikua ninashida ya unlimited internet please naomba msaada wako mawasiliano yangu ni 0657-528088 unaweza kunitumia sms mm nitakupigia natanguliza shukurani za dhati
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top