uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Viwanja 14 vinauzwa Msalato karibu na Uwanja wa Ndege Mpya Dodoma

    Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya. Ukivichukua vyote...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Club African yasingizia Ebola hili kubadilishiwa uwanja dhidi ya TP Mazembe

    Club Africain ya Tunisia yaomba kubadilishuwa uwanja dhidi ya TP Mazembe kwa kisingizio cha Ugonjwa wa Ebola, mechi hiyo ilipangwa kupigwa pale Lubumbashi ila Club Africain wametaka uwanja ubadilishwe
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa soccer wa Fumba kule Pemba/Zanzibar uitwe "Seif Sharif Hamad" (Maalim Seif Sports City) ili kumuenzi muungwana yule??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Baba Levo ni mwanasiasa. Babu Tale ni mwanasiasa. Kasheku Msukuma ni mwanasiasa. Ila Maalim Seif ni mwanasiasa mkomavu, muungwana na mstaarabu kweli kweli yule baba aisee. Kwanini ule uwanja kule Pemba/Zanzibar usibadilishwe jina kutoka FUMBA sasa ukawa Maalim Seif...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ofisi za RITA Temeke makabala ya Uwanja wa Taifa zinasikitisha, umeme umekatika na jenereta wamegoma kuwasha

    Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa transformer imeharibika. Tulijaribu kupendekeza kutumia jenereta lililopo kwa kuchangia gharama za mafuta...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Uwanja uliokosti billion 19 ndio huu au kuna mwingine?

    Wakuu, unaambiwa huu uwanja umefanyiwa ukarabati na kukosti b19 za kibongo. Taa hakuna kabisa ni giza tupu, nini kilicho ongezeka hapo zaidi ya, viti, taa na nyasi bandia kama za kmc?
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Uwanja wa Dr. J.S Malecela Nzuguni Dodoma, Kilele cha Nane Nane, Dodoma Kuchele!.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee Pasco, niko hapa jijini Dodoma, nikiwatangazia live mubashara, from Uwanja wa Dr. John Samwel Malecela, Nzuguni Dodoma, kuwaletea kilele cha maadhimisho ya sikuu ya Wakulima ya Nane Nane, inayoadhimishwa kitaifa hapa Dodoma, kiukweli Dodoma Kuchele...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Jangwani wageuzwa Yadi ya Makontena

    Katika pitapita zangu nyumbani kwenye albamu nikaja kukutana na hii picha ya UWANJA WA JANGWANI aisee nilipatwa na simanzi nzito nilipoona huu uwanja kwani kuna kumbukumbu ilinijia kipindi hicho natumwa na mmoja ya mabosi zangu kuja kuuza Ice cream na bei ya askilimu likuwa ni shilling 10...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

    Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Serengeti ni sawa na Mfanyabiashara kushindwa kusoma alama za Nyakati (Business always its Uncertainty)

    Biashara siku zote ina ushindani Mfanyabiashara haupaswi kulalamika ( Musukumu+ Joshua Nasari kuwa jirani amefungua Duka ataathiri mauzo yako.. Uwanja wa ndege upo kwenye CCM manifesto 2025-2030.. as the Country revenue strategy.. sasa Mbunge wa Chama Tawala unapingana na Ilani yako ya Chama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinawaumiza vichwa Wakenya kama mpango wa ujenzi wa uwanja wa Serengeti, Ponea yao ni wabunge wetu kina Nasari na Musukuma wanaoupinga

    kwa miaka mingi tume co exist kawaida kushea mbuga hii special duniani, Upande wao inaitwa Masai Mara upande wetu inaitwa Serengeti. watalii wao walishukia Nairobi, wetu wanashukia KIA, Baada ya hapo husafiri kwa magari au kukodi ndege ndogo hadi mbugani. Lakini wameona haitoshi. Wanajenga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  17. n00b

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kitunda Kibeberu Magole (Mzinga/Kivule) hatuna uwanja wa michezo

    Wakuu, habari. Ninaomba kufikisha kilio cha wananchi wa maeneo ya Kitunda, Kibeberu, Magole (Mzinga/Kivule) kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa viwanja vya michezo vya jamii, hususan kwa vijana wanaopenda mpira wa miguu. Mimi ni mkazi wa eneo hilo. Changamoto hii imekuwa ikiathiri sana...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wakenya wakipokea wagonjwa wa ebola kutokea Marekani katika uwanja wa ndege wa Jomo kenyata

    Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mtandao wa Instagram likidai kuwaonyesha baadhi ya raia wa Kenya wakiwapokea wageni wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa wa Ebola. Katika chapisho hilo imeomekana kuwa na jumbe ufuatao” Marekani itaipatia Kenya USD milioni 13.5 [TZS bilioni 35.5] kwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake

    Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
Back
Top Bottom