pipi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kuna watu wakatili aisee; nilishuhudia mgeni rasmi akitoa zawadi ya mfuko wa pipi tu

    Ni mwaka jana tu katika mahafali ya darasa la saba sehemu fulani niliyoalikwa na mkuu wa shule huyo ambaye ni rafiki yangu mzuri. Tumetulia mara mgeni rasmi kafika na suti yake kuuubwa. Yamefanyika yaliyofanyika hadi muda wa kukaribishwa yeye ukafika. Akaongea vizuri kwa kutoa rai murua kabisa...
  2. Magical power

    Pipi kifua kuuzwa Tsh 1000

    Jana nimeenda kununua nikakuta inauzwa 1000 nimeludi bila kugeuka jamn twambiane ni kwann zimepanda bei
  3. Daniel Aloyce Daniel

    Anayejua ma godown ya pipi za jumla kwa carton carton, agent anayewasambazia watu wa maduka ya jumla au wanapochukulia wale wenye maduka ya jumla

    Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
  4. USSR

    WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

    WHO: Soda na pipi zinaviambata vinavyosababisha kansa, hapa wanapigania na DK mpango aliyesema ni kutumia madawa ya kutunzia maiti. Report ya shirika la afya duniani limetaja sababu kuu za kupata kansa ni kula nyama nyekundu, kunywa soda, kumung'unya pipi, na kazi za usiku mara kwa Mara USSR
  5. P

    Maduka ya jumla ya pipi

    Habari Naomba kujua machimbo ya maduka makubwa ya jumla ya pipi ili niweze kununua nami nikauze jumla
  6. Mwachiluwi

    Kumbe kuna sigara zina harufu ya pipi?

    Mimi huwa nachukia pombe na sigara sasa leo nimehisi halufu ya sigara mzuri achana na hizi wanazo vuta vijiwe vya kahawa je hizi hazi madhara?
  7. MIXOLOGIST

    Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

    Wasalaam Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video. Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya. Wakasome, narudia, wakasome
  8. FlyingDutchman

    Nunua pipi mwaka 2023

    Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things Mwandishi mmoja maarufu amewai andika...
  9. B

    Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

    Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA). Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko. Hii ndiyo Afrika sekta zote ni uozo na tungetaka kusiwe na VETO UN au kama vipi iwe zamu yetu sasa. Pana kitu na Uafrika wetu hakipo...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Kama Seal za vizibo vya chupa za maji zinachafua mazingira. Je, karanga na pipi hazichafui?

    Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi. Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
  11. Numero Uno

    Pipi kali

    Mbona zinasifiwa sana
  12. sky soldier

    Siri ya pipi kifua kwenye mapenzi ya unyonyaji

    Kwenye mapenzi ubunifu hauishi, hata hatujamalizana vizuri na utundu wa kufinyiwa kwa ndani (utalia kama mtoto 😁), Lishaibuka jipya saizi kuna utundu mpya umebuniwa. Pipi Hizi hutumika pale wapenzi wanaponyonyana mdomoni (denda) au mmoja wao anapomnyonya mwenzake sehemu zile (wanawake wanaimbia...
  13. Mr Putin

    Mama usikae sana huko

    Kaingia kigali
  14. Ray of light

    Wapi naweza kupata Pipi na Big-G kwa bei ya jumla

    Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa wafanyabiashara wengine na sio super supplier.
Back
Top Bottom