Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.
Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu
Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.
Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.