Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa
Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii.
Wanawake...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamua kuwa washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya ubakaji wa kundi na ulawiti dhidi ya Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, wana kesi ya kujibu. Uamuzi huo ulitolewa Jumatatu, Septemba 23, 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Zabibu Mpangule...
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi.
Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
Wakuu,
Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba!
Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs a.k.a Diddy amefunguliwa mashtaka mengine ya unyanyasaji Kingono dhidi ya Mtayarishaji Muziki Rodney Jones Jr, aliyedai kufanyiwa ukatili huo pamoja kudhulumiwa malipo ya uaandaji Albamu ya 'The Love Album: Off the Grid'.
Katika madai yake, Jones...
Ripoti ya Hali ya Ukatili wa Watoto Mtandaoni (Disruption Harm Report in Tanzania 2022/23) inaonesha 67% ya Watoto wenye Miaka 12-17 ni watumiaji wa Mitandao kupitia Simu na Kompyuta kutoka kwa Wazazi/Walezi.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii imeonesha kuna ongezeko la Watoto...
Watoto ni waathiriwa wakubwa wa kazi za kulazimishwa/utumikishwaji katika sehemu nyingi duniani. Utumikishwaji ni hali ambapo watu wanalazimishwa kufanya kazi kinyume na matakwa yao, kwa vitisho vya adhabu, vurugu n.k.
Watoto wako katika hatari ya kutumikishwa kwa sababu mara nyingi hawawezi...
Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa.
Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
O Yeong-su mwenye miaa 78 ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe ameshtakiwa kwa kumshika maungoni bila ridhaa mwanamke ambaye jina lake haljatajwa.
Yeong-su amekanusha kumshika kinyume cha maadili mwanamke huyo mwaka 2017 na kudai alimshika mkono mara moja alipokuwa akimwongoza njia...
Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa.
Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
Ukatili wa kingono dhidi ya watoto huhusisha ubakaji, ulawiti, utekaji na usafirishaji wa watoto kwa ajili ya ngono, kumshika mtoto via vya uzazi ikiwa ni pamoja na uke, uume na matiti, uoneshaji video za ngono kwa watoto
Miaka ya karibuni visa vya Ukatili wa Kingono kwa Watoto vinazidi...
Polisi wanamshikilia baba mwenye miaka 57 mkazi wa Kijiji cha Ndaleta mkoani Manyara kwa tuhuma za kuwabaka binti zake watatu wenye miaka 15, 17 na 18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema watoto hao tayari wamepatiwa matibabu na wanaendelea kupatiwa msaada wa kisaikolojia.
---
Mwanaume mmoja...
Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo.
Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.