mchwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
  2. GoldDhahabu

    Nawezaje kuwadhibiti mchwa wanaoharibu nyasi?

    Jitihada kadhaa zimeshafanyika bila mafanikio. Zilipoanza kutafuna nyasi za "garden", ilisemekana kukimwagiliziwa kila siku hilo tatizo litaisha. Hilo limekuwa likifanyika tokea mwaka Jana lakini halijasaidia. Nilipoenda duka la pembejeo, nilipewa dawa inayoonekana hapo chini. Imeshapuliziwa...
  3. Escrowseal1

    Nchi inaliwa na mchwa, wananchi tusipoweka mguu chini wanasiasa wataifanya nchi kuwa kama Congo

    Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo yasiyofikirika mtumishi wa umma kumiliki majengo kama Mikocheni, Dubai, Afrika ya kusini nk. Huyu Mh. amewahi...
  4. GENTAMYCINE

    Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina. Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
  5. mgt software

    Ushuhuda wa kweli: Jinsi mdudu mchwa alivyobadirisha maisha ya watu kimaendeleo na kutoa ajira kwa vijana

    Wana JF. Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori. Kwanini mchwa ndio chanzo...
  6. kajekudya

    Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

    Mada tajwa hapo juu Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
  7. Gan star

    Ushauri Kwa Urusi : Huwezi kuwaangamiza mchwa bila kumuua Malikia wao, Mwenzako Japan alilijua hilo na akajaribu Bahati yake

    Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion), na hvyo kufagilia mbali malengo ya NATO pamoja na wahuni wa US kujibanza pale. Mambo hayajaenda...
  8. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Habari za jioni wanaforum. Naomba msaada wa anaejua suluhisho la mchwa nyumba Iko kwenye kichanga lakini mchwa ni wengi Sana ndani kumepigwa tairizi lakini bado tafadhari ndugu zangu anaejua dawa anisaidie. Asanteni
Back
Top Bottom