mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa kwenye mitandao wanajuaje kuwa namba ya mtu flani inapesa kiasi fulani?

    Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

    Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Polisi wa China wapata umaarufu tena kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii

    Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Range ya makato ya Lipa namba mitandao yote

    Nataka kufahamu range ya makato kwa Kila mtandao yapoje maana naona kila sehemu pana makato yake kwa wakala, ukilipa kwa simu mitandao yote.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii na Misongo ya Kimawazo

    Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?, Karibu utuambie
  7. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu AI contents kwenye Mitandao ya kijamii

    Salaam Wandugu, Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano; Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda. Pia kutokana na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
  9. Bijang

    JamiiForums Tanzania Gawio la mitandao ya simu ni kero tupu

    Habari zenu Wanabodi? Natumai mpo vizuri, Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200. SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

    Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGUWASA yatoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyehoji utendaji wa Mamlaka hiyo

    TAREHE: 9 JUNI 2026 TAARIFA KWA UMMA: KANUSHO LA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imebaini kuwepo kwa taarifa mbalimbali zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zenye lengo la kupotosha umma kuhusu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

    Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi hakikisheni ‘Vi-clip clip’ visirushwe, msimame kwenye mambo yenu

    Yeye kwake Kosa sio Jeshi la Polisi Kuchukua Rushwa .....ilo aaahhhhhh. Kosa ni 'Clip za Rushwa kuwekewa mitandaoni'. Yaan kwa Mfano, Umeoa, umefunga zako CCTV ndani, umesafiri, Mkeo kaleta Mchepuko ndani, unamfuma na kumwonyesha hizo Video. MKE Anaanza kukulaumu akijitahidi kuonyesha kua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tunampost kwenye mitandao ipi, kama kweli sisi ndio tumemleta Rio na Mkewe ili kukuza utalii na kujisafisha na damu za October 29 2025?

    Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaonya Shule kuchapisha picha za wanafunzi mitandao kutokana na tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail)

    Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu wa usalama wa mtoto na Shirika la Kitaifa la Uhalifu (NCA) wanaonya kuwa wahalifu wanatumia Akili...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ufanyike mpango ili tuwe tunajisajili na mitandao yetu kwa kutumia IDs za NIDA.

    Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania, Thank...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kulinda amani: Udhibiti mitandao ya kijamii

    Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
Back
Top Bottom