derby

Derby ( (listen) DAR-bee) is a city and unitary authority area in Derbyshire, England. It lies on the banks of the River Derwent in the south of Derbyshire, of which it was traditionally the county town. Derby gained city status in 1977, and by the 2011 census its population was 248,700.
Derby was settled by Romans, who established the town of Derventio, later captured by the Saxons, and later still by the Vikings, who made their town of Djúra-bý one of the Five Boroughs of the Danelaw. Initially a market town, Derby grew rapidly in the industrial era. Home to Lombe's Mill, an early British factory, Derby has a claim to be one of the birthplaces of the Industrial Revolution. It contains the southern part of the Derwent Valley Mills World Heritage Site. With the arrival of the railways in the 19th century, Derby became a centre of the British rail industry.
Derby is a centre for advanced transport manufacturing, being home to the world's second largest aero-engine manufacturer: Rolls-Royce. Bombardier Transportation has a production facility at the Derby Litchurch Lane Works while Toyota Manufacturing UK's automobile headquarters is located southwest of the city at Burnaston.

View More On Wikipedia.org
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Derby kuchezewa Isamuyo kabla ya week kuisha watu wanahamia KMC- Simba na TTF ina viongozi wajinga sana

    Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali...
  2. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo na Derby za Kwa Bed 😉🔥

    Guys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto 🔥 Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed 😅 Kuna goli likifungwa unasahau kabisa kuwa mboga mboga bado wapo sana mpa ripoti ile unasahau kabisa yoooooo ni fire 🔥 😅 Ni derby gani...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimepokea simu zaidi ya 300 zinasema "Professor, tunaomba ucalculate derby ya kesho itatoka ngapi" nataka niwajibu hapa kwa pamoja

    Kwanza ukiwa unataka ku bashiri matokeo ya kesho unatakiw kwanza kujiuliza kitu cha muhimu - je nina bet kwaajili ya kupata hela au nabeti for fun ? Kama lengo lako ni kupata hela, derby kariakoo kesho sio chaguo sahihi la mechi ya kuweka hela yako uliyoitafuta kwa jasho, sababu ni kwamba...
  4. elly obedy

    JamiiForums Tanzania Kwanini derby nyingi siku moja?

    Kwanini siku ya jana na leo kumekuwa na derby nyingi sana kwa mfano derby ya Yanga vs simba Asernal vs chelsea Celtic vs range KAiser vs orlando Marseille vs lyon Bayern vs Dortmund Kwanin siku zifanane? au imetokea tu kwa bahati.
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga yakosa ufuatiliwaji mitandaoni kisa Vita ya IRAN

    Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuelekea derby kuna penalty or red card...timu ziwe makini sana kwenye hili

    Wale mliokaribu wajuzeni wachezaji mchezo wa derby kkutakuwa na red card ama penalty Wacheze kwa adabu na heshima sana refa atakaekuwepo n kama amekuwa chambo mistake za kadi hatorembesha Hali hii italeta sitonfahamu kwa dk kadhaa hata hivyo mpira utaendelea na kadhaa kuondoka na simanzi...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Derby kunanmtu anafungwa 3-5..nani ntawambia siku moja kabla ya mechi

    Hizi habari sio nzuri sana kwa baadhi ya wananchi wapenda soka hasa wale wapenzi wa timu za derby Niko huku msata mpaka sasa kuna timu inapigwa goli 3 -mpaka 5 Yaani hii n siku ya huxuni na kuna watu watashindwa kufuturu ama.kupanda meli hioo sikuuuuu Ntawajuxa nani nawatakia kila la kheri...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Abdallah "King" Kibadeni alivopiga Hatrick yake katika DERBY ya 6–0 (1977)

    Rekodi ya 6–0 ya mwaka 1977 ni moja ya matukio makubwa na yenye kumbukumbu ya kudumu katika historia ya soka nchini Tanzania, hasa katika upinzani wa jadi kati ya klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga SC). Mazingira na Tarehe ya Mchezo Tarehe: Mchezo huu ulichezwa siku ya Jumanne, Julai...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama leo mmeumia moyo derby mtatolewa na roho kabisa mjiandae

    Nimepita sehemu mbali mbali vijiwen inaonekana watan wagumu.Sana kukubali matokeo na hawana uvumilivu Kila uliekutana nae anakwambia matokeo ya leo ya.Memuumiza sana moyo Nikawaonea huruma sana kama hivi tu wameumia.Moyooo wajiandae kutolewa na roho Derby day...Maana wamehaidiwa kukandwa...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tumeahirisha derby mara tatu mnashangaa nini vingine kuhairishwa. Tulieni mambo mazuri hayataki haraka

    Leooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU mtuondolee Yale mapost YENU yanakera Cha Cha KAZI iendeleeee
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka waamuzi wa Misri walioamua mechi ya derby

    Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili. Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi. Filimbi nyingi zinazalisha timu...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia hapaswi kurejea katika nafasi yake baada ya kuonyesha failure na upendeleo wa wazi katika sakata la derby

    Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  14. Dabil

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kuelekea Kariakoo Dabi

    Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa Kesho Juni 25, 2020 saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Ni utaratibu siku moja kabla ya...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waamuzi kutoka Misri kuchezeshwa derby ni sawa lakini sio 100%

    Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry. Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Sikiliza maoni ya huyu mwamba kuhusu derby ya kariakoo na siasa zetu halafu utoe maoni yako

    Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu. Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo. Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi kwa mara ya kwanza tutashuhudia matokeo halisi ya derby

    Nimekuwa nikishuhudia mauza uza katika mechi nyingi za derby na kunifanya nizidharau sana na kwamba wanaoumia na matokeo hayo wengi wana Matatizo mengine ya kiakili. Kama TFF wamekubali kuleta waamuzi kutoka nje,basi huenda mechi ikawa na ladha halisi ya Derby. Tumezoea kuona waamuzi wakifanya...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

    Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri. Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed. Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kampeni zimeanza za kulazimisha MVP kwa Pacome Zouzoua

    Yanga nimewanyooshea mikono maana mmeamua kuonyesha makucha yenu. Kwa nguvu zenu viongozi wametimuliwa kuanzia Bodi hadi TFF. Sasa mnaenda kumn'goa kiranja mkuu Wallace Karia na kusimika mtu wenu. Wakati huo huo mnaenda kulazimisha MVP wa msimu huu awe Pacome pamoja na kwamba amekuwa na msimu...
Back
Top Bottom