simba sports club

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 22 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Singida Black Stars 1-2 Simba Sports Club | 12:00 Jioni

    Mtanange mkali Leo. Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya mshambuliaji hatari mwenye kuogopwa mwenye mchanganyiko wa Messi na Ronaldo si mwingine ni DOUMBIA...
  2. bullbar

    JamiiForums Tanzania Mangungu lazima abaki Simba sports Club

    Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji VS Simba Sports Club Jamhuri Stadium 22/2/2026.

    Mtanange ukiwa unaendelea, mzani ushaanza Kuwaelemea Wenyeji. Mnyama yuko mbele kwa bao 2... Kipute kinaelekea halftime
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Bw Magori kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Sports Club, Mtafute Kaduguda Myamalize ili Nguvu Moja Ikae Sawa

    Bw Magori, nakupongeza mnoo kuwa mwenyekiti wa bodi ndani ya klabu yetu, Aidha kuondolewa kwa Try Again kumenifurahisha mnoo, kurudishwa kwa Barbra na Swedi Nkwabi nimefurahi pia. Ombi Nakuomba licha ya kuwa wewe uko upande wa mwekezaji lkn tuna imani na nyie kuliko hata ule upande wetu wa...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nani alivujisha jezi za Simba, Uongozi wa simba mmechukua hatua gani Kulinda hadhi na hatimiliki za kilabu?

    JE, SIMBA SC IMECHUKUA HATUA GANI KUKOMESHA UVUJAJI WA JEZI? Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni baada ya jezi mpya za Simba SC kuvujishwa kabla ya kutambulishwa rasmi na klabu. Hii imeibua maswali kadhaa: Nani hasa aliyesababisha uvujaji huu? Uongozi wa Simba...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hafla ya tukio la uzinduzi wa Jezi za Simba Sports Club pale Super Dome Masaki

    Tukio lipo mubashara Azam Sports 1HD Klabu ya Simba inatarajiwa kuzindua jezi zake zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kiitaliano ya Diadora. Karibuni kwenye tukio kubwa la jezi kubwa za timu kubwa
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa nahodha mpya Simba Sports Club?

    Kufuatia kuondoka kwa Mohamed Hussein Tshabalala pale Simba nafasi ya captain imebaki wazi. Taja jina la mchezaji anayefaa kuwa nahodha mpya wa Simba
  8. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba sports club inataka kumsajili mshambuliaji wa singida black stars, Jonathan sowah, Je ni chaguo sahihi kwa Simba sc baada ya Yanga kumkacha?

    Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili naipa hongera Yanga maana wamejifunza kuchukua aina ya wachezaji awa wasio na nidhamu wala adabu...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania John Bosco Nchindo (23). Ni Mali ya Simba Sports Club

    Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23). Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport). Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Scout wa kujitolea wa Simba Sports Club

    Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama mapendekezo ya usajili wa wachezaji mbalimbali ambao wataisaidia timu yangu ya Simba. Ninamiini...
  11. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Simba sports Club ni Kama Mandonga,Ikishindwa Imeshinda na Ikishinda Imeshinda

    Sisi fans wala hatuna presha kabisa yani,target ilikuwa kufika Nusu Fainali,lakini tumepita lengo na kuingia fainali Maana yake ni kwamba tayar tumeshinda kufanikisha lengo letu,kwahiyo leo tunaenda Zanzibar tayar tukiwa washindi Ni hayo tu!
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Simba sports club familia kuuubwa

    THIS IS SIIIIIIIIIIMMMMBBBAAAAAAA 🦁 The Pride of Tanzania! 🇹🇿✨ Ubaya Ubwela 🔥 #NguvuMoja #CAFCCwithMicky #Simba
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Ijalie Ushindi Mnono Simba Sports Club Vs Stellenbosch hapa Zanzibar

    Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Salamu zangu za kwanza kuelekea Derby zinaanzia kwa Uongozi wangu wa Simba Sports Club

    Ndugu Mohamed Dewji Mwenyekiti wa Bodi Bodi ya Wakurugenzi Simba Sports Club DAR ES SALAAM YAH: MECHI YETU DHIDI YA YANGA AFRICANS A.K.A UTOPOLO SIKU YA TAREHE 08 MACHI 2025 Ndugu Mwenyekiti, pokea salamu hizi za dhati kabisa kutoka kwangu mwanachama wa Simba Sports Club. Ndugu Mwenyekiti...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu nyingine

    Mcheao wa jana baina ya timu ya Simba na KMC ulikuwa ni mchezo mzuri sana na timu ya Simba ilionyesha kiwango cha juu cha kusakata mpira. Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu zingine.
  17. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba Sports Club kuhamia ligi ya Zanzibar mwakani: Move imeanza

    Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar. Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Akili inakataa kuwa Camara kauza gemu ile, Nakuomba sana Magori msifikie huko

    Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo Kama lawama basi apewe Kijiri...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mo apewe Simba sports club bila masharti

    Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
  20. D

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club inaongoza kuwa na makocha matapeli

    I will be short list yangu ya matapeli since 2014 - 1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015) 2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015) 3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016) 4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018) 5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019) 6. Sven Vandenbroeck (Dec...
Back
Top Bottom