Kikokotoo kipya ni unyonyaji kwa wastaafu

chriper

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
332
428
Wasalam wana ndugu TZ ni ngumu lakini yabid tupambane nayo maana ndiyo nchi yetu pendwa.

Leo nimekuja kwenu bila ihana pia sikatai kukosolewa maan sijui kila kitu ila nakuja kwa jambo na hoja ya msing ya mifuko ya jamii kama PSSF na NSSF.

Jamani serikali tunaomba mzingatie mambo kwenye kulipa mafao ya wastaafu katka kikokotoo kipya mna wakandamiza sana watumishi hii ya kuwalipa 30% ya pesa zao za penshen na nyingine mnawalipa wakistaaf kila mwisho wa mwezi ni maumiv kwa wastaafu

Ebu fikilia mstaaf ana staaf na kapenshen kake ka milion 40 anatakiwa alipwe asilimia 30 ambayo ni sawa na kama mil.10 apo awe amekopa wakatemo mil. Au laki kadhaa some time ajajenga ndo aanze kujenga plus wenge la penshen plus mawazo ya kuanza kuwa raia wa kawaida 🥺

Sasa kigoma kinakuja kila mwsho wa mwez inatakiwa alipwe asilimia kadhaa ya nus ya mshahara wake kutoka kwenye ile pesa iliyo bakia kwenye mfuko wake wa jamii baraha lake ni kwamba hiyo pesa

1. Endapo muhusika akifa mlisi wake awezi kunufaika tena na pesa ile inamaana mfuko unafungwa lasmi
2. Apana option yyte ya kushughurikia labda familia au mlisi apewe kias kilicho baki

SASA BASI.
  • Huyo mstaafu amtakuwa mmempunguzia tatzo bali ndo mmeongeza stress na vifo vya mapema ili wanapo kufa wafaidikaj n serikal
  • Hamtakuwa mmeounguza tatzo ndo kwanza mtaongeza wingi wa ufisad maana itapo julikan mstaf ayupo tena viongoz wa hiyo mifuko wata pita na hela kwenye acc za watu kwelikwel

USHAURI.
  • Serikali iwape angarau asilimia 70% ya penshen yao
  • Akiba inayo baki apew kila mwez sawa na nus ya kima chake cha mshahara
  • Endapo mstaaf akifarik pesa ile apewe mrith wake yote pasipo kuwa na usumbufu au aendelee kulipwa sawa na iliv kuwa ikilipwa kila mwez kwamaana hii itasaidia afya ya akil ya watumish na warith wao.

PENDEKEZO:
* Serikali ikae na makampuni makubwa wanao tengeneza vifaa vya ujenzi wawekeane ubia wa kuwakopesha vifaa vya ujenzi sawa na bei wa uzazo watengeneze ma hardware kila wilaya kwaajil ya kukopesha watumishi hii itawasaidia watumish weng kujenga

Pia serikal itenge maeneo maharum sehem mbalimbali za mikoa na wiraya wapereke miundo mbinu kama barabara maji na umeme wauze maeneo kama viwanja kwa watumish kwa bei nafuu hii itasaidia kuleta maendeleo na kuinua maisha ya watumishi.

Nb.
Pesa hizi za penshen wanaminywa watumishi wa kima cha chini tu sidhani kwamba wakuu wa vitengo vikubwa nao watapitia hadha

Za chini chini nasikia walimu wamegoma kupokea mabadiriko ya kikotoo kipya kimaeni hiv hivo.
 
Wasalam wana ndugu TZ ni ngumu lakini yabid tupambane nayo maana ndiyo nchi yetu pendwa.

Leo nimekuja kwenu bila ihana pia sikatai kukosolewa maan sijui kila kitu ila nakuja kwa jambo na hoja ya msing ya mifuko ya jamii kama PSSF na NSSF.

Jamani serikali tunaomba mzingatie mambo kwenye kulipa mafao ya wastaafu katka kikokotoo kipya mna wakandamiza sana watumishi hii ya kuwalipa 30% ya pesa zao za penshen na nyingine mnawalipa wakistaaf kila mwisho wa mwezi ni maumiv kwa wastaafu

Ebu fikilia mstaaf ana staaf na kapenshen kake ka milion 40 anatakiwa alipwe asilimia 30 ambayo ni sawa na kama mil.10 apo awe amekopa wakatemo mil. Au laki kadhaa some time ajajenga ndo aanze kujenga plus wenge la penshen plus mawazo ya kuanza kuwa raia wa kawaida

Sasa kigoma kinakuja kila mwsho wa mwez inatakiwa alipwe asilimia kadhaa ya nus ya mshahara wake kutoka kwenye ile pesa iliyo bakia kwenye mfuko wake wa jamii baraha lake ni kwamba hiyo pesa

1. Endapo muhusika akifa mlisi wake awezi kunufaika tena na pesa ile inamaana mfuko unafungwa lasmi
2. Apana option yyte ya kushughurikia labda familia au mlisi apewe kias kilicho baki

SASA BASI.
  • Huyo mstaafu amtakuwa mmempunguzia tatzo bali ndo mmeongeza stress na vifo vya mapema ili wanapo kufa wafaidikaj n serikal
  • Hamtakuwa mmeounguza tatzo ndo kwanza mtaongeza wingi wa ufisad maana itapo julikan mstaf ayupo tena viongoz wa hiyo mifuko wata pita na hela kwenye acc za watu kwelikwel

USHAURI.
  • Serikali iwape angarau asilimia 70% ya penshen yao
  • Akiba inayo baki apew kila mwez sawa na nus ya kima chake cha mshahara
  • Endapo mstaaf akifarik pesa ile apewe mrith wake yote pasipo kuwa na usumbufu au aendelee kulipwa sawa na iliv kuwa ikilipwa kila mwez kwamaana hii itasaidia afya ya akil ya watumish na warith wao.

PENDEKEZO:
* Serikali ikae na makampuni makubwa wanao tengeneza vifaa vya ujenzi wawekeane ubia wa kuwakopesha vifaa vya ujenzi sawa na bei wa uzazo watengeneze ma hardware kila wilaya kwaajil ya kukopesha watumishi hii itawasaidia watumish weng kujenga

Pia serikal itenge maeneo maharum sehem mbalimbali za mikoa na wiraya wapereke miundo mbinu kama barabara maji na umeme wauze maeneo kama viwanja kwa watumish kwa bei nafuu hii itasaidia kuleta maendeleo na kuinua maisha ya watumishi.

Nb.
Pesa hizi za penshen wanaminywa watumishi wa kima cha chini tu sidhani kwamba wakuu wa vitengo vikubwa nao watapitia hadha

Za chini chini nasikia walimu wamegoma kupokea mabadiriko ya kikotoo kipya kimaeni hiv hivo.
Sahihi
 
Back
Top Bottom