kipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa, Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
  2. Black Butterfly

    NHIF na Wizara ya Afya wanamdanganya Rais kuhusu Dawa zilizoondolewa kwenye Kitita kipya?

    Binafsi sielewi kwanini NHIFTZ na Waziri was Afya @ummymwalimu wameamua kuwa waongo na wazandiki katika hili suala la bima ya afya ya NHIF. Wanachama tumewakosea nini? Mnataka roho zetu? Swali langu lilihusu dawa namba 21 katika zilizoondolewa, beclomethasone with salbutamol inhaler ikiwa ni...
  3. J

    Je, ni kweli NHIF wameondoa baadhi ya vifaa tiba (kama vile gloves) katika kitita kipya cha huduma?

    JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA? Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages. NHIF wanasema gharama...
  4. Msanii

    Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je, hiki ni kipaumbele kipya?

    Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake. Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa zinazoandaliwa zipo kwenye bajeti ya serikali au kuna wafadhili wenye moyo mwema wanaochangia gharama za...
  5. Pfizer

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Katika kikao kifupi cha makabidhiano ya ofisi, kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya...
  6. Mganguzi

    Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

    Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi. Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu...
  7. I

    Ujue ukweli kuhusu kitita kipya cha huduma cha NHIF

    Kitita ni orodha ya huduma na bei zake ambazo NHIF huingia mkataba na Hospitali kuwahudumia wanachama wake. Hakuna ongezeko la gharama za michango ya wanachama. Hakuna kuchangia gharama za matibabu (top up) kwa huduma zinazolipiwa na NHIF Wanachama wanaotumia dawa za pressure na sukari sasa...
  8. Zanzibar-ASP

    Hichi kitita kipya cha NHIF kina nini ndani yake? Kwanini kipigiwe debe na kupingwa vikali? Tujadiliane

    Kama ulidhani hilo jambo halikuhusu basi anza sasa kufikiri tofauti. Yanayoendelea baina ya NHIF na watoa huduma za afya binafsi ndio mwanzo wa picha itayokuja kwenye suala la bima ya afya kwa wote, ambayo itapaswa kuwa ya lazima kwa watu wote. Kwa kifupi sana Yatakayofuata yatakuwa marudio tu...
  9. D

    DOKEZO Daktari aliyefumua nyuzi za mgonjwa kisa hakuwa na hela ya kulipa kaletwa Hale, adhabu ya uhalifu ni kuhamishiwa kituo kipya?

    Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake. Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na kesi ya ajabu ya kumfumua nyuzi mgonjwa aliyemshona kisa alikosa hela ya kumlipa kwa muda ule, maana...
  10. Richard

    Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  11. Influenza

    Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  12. Mzalendo_Mwandamizi

    Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

    Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia ya Ujasusi 👉 Aina za Ujasusi 👉 Ujasusi wa kimtandao 👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia 👉Ujasusi...
  13. Nyafwili

    Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Nyinyi manabii mnao vaa visuluali vimebana, manabii mmesuka rasta, manabii mnawapiga mateke wagonjwa, manabii mnawalisha majani waumini, manabii mnawanywesha mafuta ya taa waumini, manabii mnataka sadaka kuazia elfu Tsh 30,000 na kuendelea, je ni kweli hizo nguvu/mamlaka mmepewa na Mwenyezi...
  14. Lexus SUV

    Kitanda cha chuma 5 kwa 6 kipya kinauzwa kipo Moshi mjini, mikoani kinatumwa

    Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI...... MAWASILIANO NI. 0672701329
  15. balimar

    Ualimu kazi iliyotukuka zaidi. Mvinyo mpya Kiriba kipya

    Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu. Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
  16. Tlaatlaah

    Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

    Wanajamvi kwema..... Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
  17. Yesu Anakuja

    Msaada hatua za kuanzisha chama kipya cha siasa

    Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana! Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa. Au...
  18. Mr Lukwaro

    UVCCM waweka sawa kuhusu Cheo Kipya cha Naibu Waziri Mkuu

    🔰 𝗨𝗩𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗜𝗨𝗧 🗓️ 𝗔𝗚𝗢𝗦𝗧𝗜 31, 2023 FAHAMU KUHUSIANA NA TEUZI YA NAIBU WAZIRI MKUU KIKATIBA IMEKAAJE? Reuben Paul Mboje, Mwanasheria-UVCCM KIUT Tarehe 30/08/2023 watu wanashangazwa kuona barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi inayohusu uteuzi na kuhamishwa kwa mawaziri katika nafasi walizokuwa...
  19. Danielmwasi

    CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
Back
Top Bottom