MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI!
📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye)
🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni
🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road
📐 Ukubwa: Mita 20 × 20
💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja
✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa
✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671.
Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
Anonymous
Thread
ardhi
chanzo cha migogoro
janga la kitaifa
viwanja
wizara
wizara ya ardhi
Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Ununuzi huu haukuwa wa mitaani tu; nilifuata taratibu zote za kisheria na za kiserikali. Nilisaini mkataba halali mbele ya...
★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027
Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
-Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
-Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na SQM 1449.
Bei: Tzs Milioni 35 (Vyote Viwili). Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama...
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote...
Habari ya leo ndugu zangu....!
Ninaendelea kiwashukru wote mnaoniunga mkono katika shughuli hii.Wengine Kwa faraja ya maneno na wengine Kwa kununua viwanja.
Ahsante sana Kwa wale waliofika na kutembelea site zetu pia,hata kama hukupata nafasi ya kununua Kwa wakati huo,Nina Imani Kuna siku...
Habari zenu wakuu!!
Viwanja vipo 2 vimefatana vinauzwa….
1.sqm2400..2.sqm2100 jumla sqm4500..
Bei ni 19m kwakila kimoja
Vipo dodoma (vikonje) kutoka makao makuu ya tbc ni km 3 na kutoka dar es salaam road ni km 6….
Document zote zipo (prosess ya hati iko ardhi tayari )inasubiliwa control no tu...
Habari Wadau
Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi.
Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu safari za ndege ambacho wengi wetu hatukifikirii.
Ndege kubwa za abiria kama Boeing 737 zinaweza kusafiri katika mwinuko wa karibu futi 34,000 (34,000 ft) kutoka usawa wa bahari.
Lakini futi 34,000 ni kiasi gani kwa lugha tunayoielewa vizuri?
34,000 ft =...
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je linawezekana?
#Wajuzi mtujuze!
-SATO
-SANGARA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
Amesema kazi hiyo...
Kibada(1.4km kutokea kibada centre)
Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote
Ukubwa wa Eneo: Sqm 580
Nyaraka: Hatimiliki
Bei: Tzs Milioni 20.3
Vumilia ukooni-Kisarawe II(2km kutokea DSM zoo)
Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote
Ukubwa wa Eneo: Sqm 785
Nyaraka: Hatimiliki...
kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja..
Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona...
VIWANJA 2 – MBEZI LUGURUNI VINAUZWA
Je, unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa yako!
📍 Eneo: Mbezi Luguruni
🔹 Kiwanja cha 1 📐 Ukubwa: 700 m² (SQM 700) 💰 Bei: TSh Milioni 15
🔹 Kiwanja cha 2 📐 Ukubwa: 1,300 m² (SQM 1300) 💰 Bei: TSh Milioni 35
✅ Vyote vimepimwa na vina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.