Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hizo account kama...
My Take
Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇
https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani
Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya kujitolea.
Mimi pia nilikuwa naifurahia kwani nilifanya kwa bidii pia juzi kama siku tatu zimepita...
Wakuu salama,
Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama
Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo.
Wananchi wanabainisha kuwa maji...
Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka.
Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
Wakuu salamu,
Leo ningependa tushirikiane uzoefu na maarifa kidogo kuhusu uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati, hususan ujenzi wa viwanda vidogo vya kusafisha mafuta (Min Petroleum Refineries).
Naam, ili mpango wako wa biashara ya usafishaji mafuta (Petroleum Refinery Business...
Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost
Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
Habari wakuu,
Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata kemikali za mafuta (Petrochemical Plant) jijini Tanga.
Yaani fursa ipo hapa...
Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania
Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta.
Kwa...
Habari wakuu,
Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta Tanga.
Yaani fursa ipo hapa tutakua tunanunua mafuta yanayopita...
Wanaukumbi.
Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa,
https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe
Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara
Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania
Hii ni summary ya huu mkataba
Company: MANCHESTER UNITED...
Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
Wanabodi,
Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD
Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu ,
Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu,
Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.