Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,264
- 7,404
Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!
Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%
Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%
Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?
SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi