ukandamizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kufurahia watu kutekwa ,mauaji, watu kupotezwa?

    Kuna watu humu JF wana matatizo ya afya ya akili kabisa unakuta mtu anafurahia au kulinganisha Uhai wa binadamu na vitu unakuta mtu anafurahia mauaji, watu kutekwa kupotezwa huyu hawezi kua binadamu wa kawaida lazima ana matatizo ya Afya ya akili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mswaada wa Bunge la Marekani kuhusu Tanzania unalenga pia kuwataja wanaohusika na ukandamizaji wa demokrasia bila kusahau waliogiza na kuekelez mauji

    Hii ni sehemu ya 5 ya Mswaada husika. Jisomee:
  3. K

    JamiiForums Tanzania Muswaada wa Marekani kuhusu Tanzania wamsahau Mwenyekiti Mstaafu japo anashutumiwa na wengi kushauri na kunufaika na maovu ya dola

    Muswada wa Bunge Marekani umetaja maadui wanne wa Tanganyika watakaowekewa vikwazo na kumulikwa. Uongozi wa Juu wa 1. Serikali 2. CCM 3. Jeshi la Polisi 4. Usalama wa Taifa Na familia zao. Hilo nyavu linanasa yule kijana kwa saab ni familia lakini Mwenyekiti Mstaafu halimkamati. Japo...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo: Wakati wa kuungana dhidi ya ukandamizaji ni sasa

    Mkwamo wa Kisiasa Nchini Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa. Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa. My Take. Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ukandamizaji wa haki kwa vibarua wa TANESCO wanaosambaza umeme kwa mteja(service line) na kujenga miradi midogo midogo

    Tanesco imekuwa na unyanyasaji mkubwa sana kwa vibarua wanaosambaza umeme kwa mteja(service line) na kujenga miradi midogo midogo. Inafikia mpaka miezi nane(8) pesa haijalipwa na hakuna anayelisemea au japo kulibeba swala hilo kwa wale viongozi ukiulizia kauli ni kesho,wiki ijayo au wiki hii...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia Kamanda: Jinsi CHADEMA inavyokabi unayokabiliana na Hali ya Ukandamizaji na Utawala wa Sheria nchini Tanzania

    30 April 2026 Brenda Rupia Kamanda: Ukandamizaji na Upinzani wa Kisiasa: Utawala wa Sheria nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=7iFw37GQQb4 Brenda Rupia Kamanda, msemaji wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nchini Tanzania, yanaangazia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya rufaa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania US Senate Foreign Relations: Tume imefunika Ukandamizaji na Ukweli

    As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore...
  8. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Amnesty: Kombe la Dunia kuwa jukwaa la ukandamizaji

    Imeonya kwamba mashindano ya mwaka 2026 yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya kidikteta. Ripoti mpya ya shirika la haki za binaadamu iliyotolewa Machi 30, 2026 imeonya kwamba mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jamii inapokabiliwa na ukandamizaji ukiukwaji wa haki za kibinadamu na kudhibitiwa vyombo ninavyopaswa kutunga na kutoa sheria yani Bunge na mahakama

    Viongozi waliokataa kukubali mabadiliko wanayodai mwananchi katika Nchi zao,kama kupinga ubaguzi wa rangi Nchini South Africa. Chaguzi za viini macho kama Tanzania Uganda na Mozambique, utekwaji na mauaji ya kisiasa kwa wananchi, wanasiasa wa upinzani kufungwa magerezani kwa kupambikizi wacase...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  12. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29, 2025 yalikuwa kilele cha Ukandamizaji wa Demokrasia, haikuwa bahati mbaya

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde. Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo, kuimarisha uwajibikaji, na kuruhusu wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila shinikizo la chama...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

    GT Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo. Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania. Mauaji. Utekaji na utesaji...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha

    Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha. Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
  16. S

    JamiiForums Tanzania Matusi mazito mitandaoni, ni matokeo ya chuki chanzo kikiwa ni uonevu, mauji, utekaji, ufisadi, ukandamizaji

    Habari ndio hiyo na watu waanaamua kutoa hasira zao kwa njia hiyo walionayo. Wanaotukana matusi hayo mazito ni wachache ila sio vichaa bali wanamachungu. Vile vile, angalieni na mjiulize wanao-comment kuunga mkono matusi hayo ni wachache? Somo; Hawa wanaotukana na wanaochangia kuunga mkono...
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuna option 2 tu za kuondoa mateso, dhuluma , visa vya utekaji, mauaji ya raia, na ukandamizaji unaoendelea

    Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au 2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee. Tuache unafiki wadau. Options ni...
  18. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Zito Zuberi Kabwe kwa ukandamizaji wa haki unaoendelea inasikitisha na kufikirisha

    Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania. Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
  19. DolphinT

    JamiiForums Tanzania "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"

    "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma" Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

    Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
Back
Top Bottom