Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini. Kwa miaka mingi, wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo. Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi gani, kuepuka double standard
Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali imekopa na haitaki kulipa.
Hivyo danadana zote hizi wanajua tatizo liko wapi hivyo wanaangalia mdhaifu...
DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote.
Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo.
Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita.
Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea.
Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa...
Mtu aliyechangia mfuko zaidi ya mmoja, (PSSSF & NSSF) malipo ya mafao yake i.e malipo wa pensheni ya uzee, malipo ya fao la mirathi etc atalipwa na mifuko yote miwili kwa kutumia Totalization formula.
BADILIKO 1:
Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo.
Kigezo kimoja tu kinachotumiwa kuwapinga AFTHA ni kukosa ubinadam....kwamba walipaswa kutoa notice ya siku...
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea...
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
CHADEMA kama kweli maandamano yenu ni ya dhati toka mioyoni basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo zimeathiriwa na kikokotoo japo taasisi hizo haziwezi kushiriki moja kwa moja ila zitawaunga mkono kwa namna...
Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake.
Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
Kwa mifuko yetu pendwa ya NSSF & PSSSF
Tunaomba mtuwekee Kikokotoo digital ambapo mtu akikaribia kustaaf (ndani ya miaka mitatu ya mwisho ambapo mara nyingi mshahara haubadiliki) anaweza kuweka Mshahara wake na miezi aliyochangia na kujua anachotegemea kupata (Lump sum na kile kiasi cha kila...
Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?!
Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani.
Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko?
Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake...
Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
Akizungumzia kuhusu malalamiko yaliyopo kwenye kikokotoo katika ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, leo Septemba 4, 2023, Rais Samia amesema Serikali inafanyia kazi suala hilo na itaangalia njia nzuri ili kuondoa maneno mengi.
"Tupo tunakifanyia kazi na...
Picha: Ester Bulaya
Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.