simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Mechi ya Simba na Yanga, watu wamevaa jezi zimeandikwa 'Mama, Mitano Tena' Tukisema wanatumiwa kisiasa tumekosea nini?

  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yanga anafungwa leo

    Wakuu simba sc anamfunga mtani wake leo, sina maneno mengi 1-2 ft
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Azam tv naomba kesho mnioneshe takua uwanjani kuishihudia Simba na Yanga Inshaallah

    Wageni karibuni, ndugu zanguni poleni Kwa uchovu wa safari. Najua Kuna watu wametoka MIKOANI na kuunga kuja zenji asee your welcome my fellow tanzanians. Kesho takua nimetupia jezzy ya Brazil njano cheni silver shingoni, na bangle ya silver mkononi, kijana mweusi mwembaba mrefu, jezzy NYUMA...
  5. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni kati ya tamasha la Simba na Yanga lipi limekuwa tamasha bora kwako?

    Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Simba na Yanga zitambuliwe kama sehemu ya urithi wa utamaduni wa Taifa

    Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo. Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa...
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa tamaduni wa Simba na Yanga ndiyo mwisho wa Raisi Karia

    Naaam !!! Habaari za uzima Mabibi na bwana , ni yule yule kijana wenu NALIA NGWENA zee la football sikuhizi nimepewa jina jipya naenda kama WATA PLEYA Nisiwachoshe sana twende kwenye Maada kuu kama kichwa habari kinavyojieleza, nimeona tamko la Raisi wa shirikisho la Mpira Wallace karia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawatumii akili yani?! Unakataza mikutano ya siasa lakini unaruhusu paredi za Simba na Yanga

    Inasikitika kuwa raia wa nchi yenye viongozi wa namna hii. Kwa lugha nyepesi hapa wooooote watu milioni 70 tumeonwa hatuna akili. Ina maana hawa viongozi hata aibu hawana? Hata hafikirii akiwa bila suti atakuwa mtu wa namna gani?
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hizi mechi ndizo zitaamua nani anakuwa bingwa 2025/2026

    Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Wakati Simba itaanza na Dodoma Jiji (24/05/2026) Yanga wao siku inayofuata itakutana na Namungo. Mechi ngumu kwa Simba, Yanga mechi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dabi ya Simba na Yanga kesho mashakani

    Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa. 'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga kutoa sadaka kila wanapokutana ni sababu hasa?

    Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana. Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kusema Simba na Yanga kuliko kusema Yanga na Simba?

    Ukitaka kuzitaja hizi timu mbili kwa pamoja utakuta automatically ina sound kuanza na Simba kisha Yanga. "Simba na Yanga"
  15. Life2

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga wakitaka waamuzi toka hata Brazil wataletewa ila sio kwa uchunguzi wa 29 oct, Lissu, Father Kitima..etc

    Watanganyika wenzangu mnataka kusema hapa tuna nchi kweli? taifa ambalo kuanzia asubuhi mpaka kesho yake vyombo vya habari ni kuchambua mpira, umbeya, Visingeli na uchawa humo humo. Taifa ambalo tumeacha kudili na mambo ya msingi, kulinda #Uhai wa binadamu wenzetu na kuishia kujisifu kuua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti imepangwa kutolewa kimkakati sana, Tupo muda ambao Simba na Yanga zinaweza kukutana Mara mbili ndani ya wiki, Muungano cup na Kariakoo Derby

    Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3 Kariakoo Derby
  17. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini sasa hivi JF hakuna mada nyingi wala Vibe la Simba na Yanga kama zamani

    Mzuka wana jamvi ? Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ? Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha nyuzi na nyuzi la live mechi views na engagement ilikuwa kubwa sana mabishano na vibe la kutosha sasa...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga yakosa ufuatiliwaji mitandaoni kisa Vita ya IRAN

    Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba huwenda ikasusia mechi ya Dabi, waiandikia barua Bodi ya Ligi kisa mechi kupelekwa Zanzibar

    Wakuu Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye. = Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
Back
Top Bottom