Hamjambo!
Kujitambua ni pamoja na kutunza uliyonayo. Akili yako, hisia zako, roho yako, mwili wako. Na mengineyo.
Ngozi yako ni sehemu ya baraka ulizopewa.
Hivi kweli ngozi yako thamani yake ni kuipaka mafuta ya jero au mafuta ya kula?
Mafuta ambayo sio ya ngozi unapakaje kwenye ngozi yako...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay Jijini Dar es salaam.
Pamoja na mambo mengine...
Kigogo huyo nae anasadikiwa wazazazi wake wana asili ya Rwanda. Alishakuwa na cheo kikubwa hapa bongo baadae akatoswa.
Anawakingia raia wa Rwanda kurundika mifugo yao na kuharibu mazingira.
Nchini Tanzania, mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa na maambukizi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) mara nyingi hujumuisha maeneo yenye idadi kubwa ya watu na shughuli nyingi za kiuchumi. Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa asilimia kubwa zaidi ikifuatiwa na mikoa mingine...
Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa.
sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia.
Mbunge huyo...
Wakuu, wataalamu. Nimeanza kuhisi maumivu makali sana maeneo ya chini ya kifua. Ni siku ya tano toka nimeanza kuiExperience. Nimekuwa nikitumia dawa za maumivu kutuliza maumivu.
Kama kuna anayejua dawa inayowesa kunisaidia anisaidie, maana hii hali nasikia wanasema huwa inatibiwa kienyeji...
Habari ndugu wana JF.
Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli.
Niende kwenye mada, leo nimekuja mbele yenu kujigamba kwa kujiamini kabisa kwamba sasa mimi nimekuwa kijana mkamilifu, kijana...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
Imagine kila mwanaume angependa wowowo, dunia pasingetosha.
Mi napenda wale wanaota English figure sema kifuani pakiwa pamenona, bas ndio ugonjwa wangu.
Wadada wengi wanaoshobokewa kua wanashape hawana kwangu mimi nawaona kama wana disability.
Mwanamke aliejazia sana nyuma ni kama wale jamaa...
Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory
Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha
Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
“Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.
Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.
Shigongo...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mimi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni muhimu kama ilivyo kwa watu wengine.
Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Januari 24, 2025 Jijini Dar es...
1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa;
2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi;
3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara;
4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu;
5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.