simba vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Newbies

    Simba Vs Yanga kutoa Sare 1-1 kesho April 20, 2024

    Kitawaka kesho wakati miamba miwili ya Soka la Tanzania Simba watakiwasha Dhidi ya Yanga. Mchezo ukipita ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi mnono, lakini hiyo kesho tutarajie mchezo huo kukamilika kwa Sare hasa sare ya goli moja kwa Moja
  2. M

    Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  3. mtetezi wa MAGU

    Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
  4. SAYVILLE

    Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  5. Objective football

    Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

    Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
  6. Andre-Pierre

    Mgeni Rasmi mechi ya Simba Vs Yanga ni Kibu Dennis

    Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo. Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.
  7. Chizi Maarifa

    Simba vs Yanga 05/11/23 mpira umeshaisha Yanga tumechukua points zetu 3 muhimu

    Muda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov. Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita, tunajua wapi pa kupiga. Kikosi cha Simba...
  8. Camilo Cienfuegos

    Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

    Piga kura yako kwa kuandika jina la timu yenye jezi kali kati ya Simba Vs Yanga.
  9. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  10. JanguKamaJangu

    Rekodi ya mechi 10 za Simba Vs Yanga zilizopita, sare zimetawala, hakuna mbabe

    Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6. 29/04/2018: Simba 1-0 Yanga 30/09/2018: Simba 0-0 Yanga 16/02/2019: Yanga 0-1 Simba 04/01/2020: Simba 2-2 Yanga 08/03/2020: Yanga 1-0 Simba...
  11. Greatest Of All Time

    FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi. Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
  12. Cute Msangi

    Wachezaji wa kuwachunga siku ya dabi Simba vs Yanga

    Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI. Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi. hivi Sasa ukiongelea timu yenye team work hali ya kupambana kwa wachezaji ni Yanga na kila mchezaji anatamani...
  13. S

    TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  14. Expensive life

    Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

    Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga. Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni nani atafanya vizuri katika mechi tatu hizi za awali? 👇👇👇👇👇👇
  15. Vawulence

    Makocha 13 kushuhudia Derby ya Simba dhidi ya Yanga leo

    Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika. Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain ya Tunisia kwani atapenda kuwajua wapinzani wake Yanga atakaokutana nao tarehe 2 November 2022...
  16. rajiih

    Namna ushindi wa Yanga ulivyonipa utamu wa mtoto wa boss wangu

    Habari wana JF Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
  17. Championship

    FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  18. Expensive life

    Safu ipi ya ushambuliaji simba vs yanga itatisha musimu huu?

    Yanga sc. Mayele Kambole Morrison Aziz ki Moloko Nkane Ngushi Simba sc. Phiri Sakho Banda Okrah Manzoki ( kama atasajiliwa) Kibu Kyombo
  19. Poker

    Simba vs Yanga nusu fainali ya kombe la FA Tanzania bara!

    Bashiri matokeo sahihi ya kesho kati ya simba vs Yanga! mimi naenda 1-1.
Back
Top Bottom