Shadrack Mwadime
Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi, amesema Katibu wa Wizara ya Kazi Shadrack Mwadime.
Mwadime amesema...
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC...
Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia.
Kulingana na nyaraka za mahakama...
Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto.
Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki.
Nchi hiyo Pia imekuwa ikisitasita kutangaza rasmi kuutambua ushoga Kama haki baada ya harakati nyingi kushika Kasi Hadi ngazi...
Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe.
Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya kimakosa ya Arshad Sharif.
Mwanahabari huyo alipigwa risasi na kuuawa mwaka mmoja uliopita na maafisa wa...
Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana.
Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023
WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
Naam,
Tunaitaka serikali ya Kenya, William ruto kumuachia haraka sana mchungaji, nabii Paul McKenzie kwani swala la vifo vya watu 73 ni la kijinga na la kipuuzi mno ni lakujitakiaa ujinga uliopitiliza.
Haiwezekan Hadi sasa karne hii Kuna watu wajinga na Bado wanaishi. Ni vyema sana watu...
Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara.
Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi? Nimegoogle nimeambulia patupu.
MK254 Natanguliza shukrani.
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali.
Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi.
Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
Kiambu Governor Kimani Wamatangi (in white helmet) at Kirigiti, Kiambu where a six-storey building under construction collapsed killing a mother and her two children in an adjacent apartment.
Simon Ciuru | Nation Media Group
Three people among them a mother and her two children died in...
Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni.
Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.