mabilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mystery

    Kati ya mabango yaliyopita kwenye Mei Mosi, ni kwanini hakuna hata bango, lililokemea ufisadi mkubwa uliofanywa Serikalini wa mabilioni ya shilingi?

    Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
  2. Mystery

    Ni kwanini waliotajwa kutafuna mabilioni ya pesa ya walipa kodi na CAG, hawachukuliwi hatua za kisheria?

    Ni jambo lilizoeleka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa pesa za Serikali (CAG) kuibuka na ripoti kila mwaka, inayoonyesha namna mabilioni ya pesa ya walipa zinavyotafunwa na "wajanja" wachache walioko Serikalini, pasipo kuchukuliwa hatua zozote. Lakini tunashuhudia magereza yetu, yakiwa yamefurika...
  3. Jidu La Mabambasi

    CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

    Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo. Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi: Kesi ya...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Siku 180 mabilioni yapigwa Uhamiaji, maofisa 32 wamehusika

    Kwa mwendo huu awamu ya 5 ilikuwa ina ufisadi mwingi kuliko awamu zote au ukijumlisha ufisadi wa awamu zote ndio unapata ufisadi wa awamu ya 5
  5. chiembe

    Lissu, mabilioni mliyopewa katika chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) yaliishia wapi?

    Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) . Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na Hela ikaliwa. Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa ulifanyika ....ndugu yetu Lissu, hebu funguka ili upate...
  6. Stroke

    Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

    Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba. Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
  7. J

    Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

    Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia. Source: BBC
  8. Rebeca 83

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso: Wachawi kikwazo maji kufika vijijini

    Hello JF Hii habari imenichekesha sana ---- Waziri wa Maji, Jumaa_Aweso ameeleza kupitia alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Vijijini moja ya kituko alichokutana nacho kwenye kijiji kimoja alipomuuliza mkandarasi sababu ya maji kutokuwepo kwenye kijiji hicho licha ya kujengwa tank...
  9. M

    GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  10. K

    Kama tutatumia mabilioni Kwa miaka mitano viongozi walewale kuitana na kutuambia AMANI, MSAMAHA NA UZURI wa mtawala, lini tutakaa na wananchi?

    Hii mikutano inayoandaliwa Kila Siku na Serikali inagharimu Fedha nyingi Sana za walipa Kodi. Lakini waudhuriaji ni watu walewale na wazungumzaji ni wale. Dhima ya mikutano hii yote nikuwaaminisha wananchi kwamba Serikali Kuna Jambo inafanya Kwa ajili ya wananchi, wazungumzaji wote wanazungumza...
  11. waziri2020

    Serikali yaokoa mabilioni ya fedha Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

    Mwandishi wetu -- Arusha Zaidi ya kiasi cha sh,1.5 bilioni zimeokolewa katika ujenzi wa jengo la Ufundi Tower linalojengwa katika chuo cha ufundi mkoani Arusha (ATC) ambalo awali serikali ilivunja mkataba wa ujenzi na mkandarasi wa awali. Awali chuo hicho kiliingia mkataba na kampuni ya Tanchi...
  12. MK254

    Utalii wa ndani Kenya waongeza mabilioni kwenye uchumi

    Huu ndio uzalendo wa kweli.... ===== The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic. The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
  13. Elli

    Polisi saba mbaroni wakituhumiwa kulamba mabilioni ya pesa

    Dunia haiishi maajabu aiseeee. "Geshi" letu linachekesha sana kama sio kusikitisha. Anyway habari kamili hii hapa. --- Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiwa na mashtaka ya wizi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh1.16 bilioni...
  14. N

    DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon. Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa...
  15. S

    Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

    Kutoka ziara ya Rais Samia, Bandari Kuu Dar es Salaam. Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
  16. beth

    Sweden yamwaga mabilioni kusaidia elimu ya msingi

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa Sh196 bilioni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EP4R II). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 5,2021 na kitengo cha mawasiliano cha Wizara ya Fedha na Mipango, Maktaba huo...
  17. Analogia Malenga

    Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

    Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeonekana katika taarifa hizo ambazo zinaonesha Kenyatta na nduguze wana...
  18. kmbwembwe

    Yanatengenezwa mazingira kuja kuwalipa mabilioni fisadi

    Kuna hofu kwa raia wazalendo kwamba kuachiwa na dpp watuhimiwa wa ufisadi kunakotokea sasa bila kuhusishwa mahakama huenda kukapelekea madai ya mabilioni toka hazina kuu ya taifa. Tuhuma kuhusiana na IPTL ya harbinder sighn na rugemalila ziliwekwa wazi. Tangu wahujumu hao kutupwa lupango...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    NHC yatelekeza miradi ya mabilioni wilayani Chato

    NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita. - Dk Mabula ambaye alitembelea na kukagua miradi hiyo leo Septemba 14, 2021 alionyesha kusikitishwa...
  20. M

    Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
Back
Top Bottom