gsm

The Global System for Mobile Communications (GSM) is a standard developed by the European Telecommunications Standards Institute (ETSI) to describe the protocols for second-generation (2G) digital cellular networks used by mobile devices such as mobile phones and tablets. It was first deployed in Finland in December 1991. By the mid-2010s, it became a global standard for mobile communications achieving over 90% market share, and operating in over 193 countries and territories.2G networks developed as a replacement for first generation (1G) analog cellular networks. The GSM standard originally described a digital, circuit-switched network optimized for full duplex voice telephony. This expanded over time to include data communications, first by circuit-switched transport, then by packet data transport via General Packet Radio Service (GPRS), and Enhanced Data Rates for GSM Evolution (EDGE).
Subsequently, the 3GPP developed third-generation (3G) UMTS standards, followed by the fourth-generation (4G) LTE Advanced and the fifth-generation 5G standards, which do not form part of the ETSI GSM standard.
"GSM" is a trade mark owned by the GSM Association. It may also refer to the (initially) most common voice codec used, Full Rate.
As a result of the network's widespread use across Europe, the acronym "GSM" was briefly used a generic term for phones in France and in Wallonia, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

    PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela. Kuna...
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli eti GSM ni mngoni kutoka mkoani Ruvuma.?

    Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wekundu wa Msimbazi Point Zenu 3 Hizi Hapa FIFA Dhidi Ya Utopolo

    Subject: Formal Complaint – Atletico de Utopolo’s Violation of FIFA Regulations To: Fédération Internationale de Football Association (FIFA) From: Chief Executive Officer, Wekundu wa Msimbazi Date: May 4, 2026 1. Introduction Dear FIFA Disciplinary Committee, On May 3, 2026, at 18:00...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

    Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale. Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem. Mamlaka...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Yanga: TEAM 26% GSM 50% Wawekezaji 24%. Uhalisia upo hivyo kimahesabu

    1. Mimi ni shabiki wa Yanga. 2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi. 3. Haya ni mawazo yangu, mawazo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Apartments for sale Msasani beach nyuma ya GSM home Mikocheni

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Management Accountant at GSM Beverages November 2025

    Management Accountant Position at GSM Beverages Position Overview Position: Management Accountant Business Unit: GSM Beverages Reports To: Finance Manager Duty Station: Dar es Salaam Key Responsibilities Prepare accurate monthly management reports and cost analyses. Maintain costing systems...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz anunuliwa iPhone 17 Pro Max na mke wa GSM kama zawadi

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amepost zawadi ya simu toleo jipya iPhone 17 Pro Max aliyonunuliwa kama zawadi na mke wa GSM. Baada ya kupost zawadi hiyo imeibua minong’ono mingi mtandaoni🤔
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mo Dewj na GSM nani tajiri zaidi?

    Hivi hawa watabe wawili GSM na Mo Dewj ninani tajiri zaidi?
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba na Yanga zisianzishe Foundations zao wenyewe badala ya kutegemea Mo na GSM Foundation?

    Kwa muda mrefu, vilabu vya Simba na Yanga vimefungamana na Mo Foundation na GSM Foundation katika shughuli za kutoa misaada kwa jamii. Sina uhakika kama kuna mtu amekaa akawaza ni kwa nini hivi vilabu vimeunganana na taasisi hizi badala ya kuanzisha taasisi zao za kutoa kwa jamii. Hivi vilabu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao?

    Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka 2025?

    Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka huu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CUF: Tutamwandikia GSM atuchangie kama kweli ana mapenzi ya kuimarisha demokrasia nchini

    VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka mmiliki wa makampuni ya GSM, Ghalib Said kutoa msaada pia kwa vyama vingine vya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Wakizungumza jijini Dar-es-salaam , baadhi ya viongozi wa CUF wamesema kitendo cha kampuni hiyo kuchangia...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 GSM + Eng. Hersi + Yanga + CCM Inamaanisha nini? Kwanini Eng. Hersi anautaka sana ubunge? Machango wa GSM, Yanga kwa CCM una maana gani? Tuchambue

    GSM kama mfanyabiashara yeyote anachoangilia ni kupata faida, popote pale anapokuwa yeye anaona fursa na kufanya aingize pesa zaidi na power ya kumbakisha hapo alipo na Hersi kama mfanyakazi/Mtendaji wa GSM ambaye yupo kwenye kitengo muhimu cha Uwekezaji ni kuhakikisha anacheza karata zake...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoke hadharani atoe ufafanuzi alimaanisha nini aliposema "hambinyi" sana GSM ktk biashara zake

    Je, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha? Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi? “Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa, hapa namuona Ghalib (GSM) akijua kuna mashindano mbele flesh ya nyama inapungua kidogo anapiga mahesabu...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimeona wivu mtakatifu: GSM Kuchangia 10b wakati kanisani kwetu hakuna muumini wa kuchangia hata Bilioni 1

    Kiukweli suala la mfanyabiashara GSM KUCHANGIA Bilioni 10 KWA ajili ya CCM uchaguzi ambao haina upinzani limenifikirisha sana. Nimeangalia kanisa ninalosali tunavyostrago kupata kiasi cha kawaida tu ili kukiingiza kwenye kampeni ya kuokoa watu watoke kwenye ulevi wa madawa ya kulevya NK...
  18. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mo Dewji wamechanga Tsh. Milioni 150, GSM peke yake amechanga Tsh. Bilioni 10 halafu utegemee Simba awe bingwa

    Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes

    Niko nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, kila mtu aliyesikika na atakayekuwepo humo ni complicity wa Ukiukwaji wote wa haki, Nikishakusanya hawa watu wote nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes katika mataifa ya Ulaya na...
Back
Top Bottom