jnhpp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP

    TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP DODOMA: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefafanua kuwa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) limechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza athari za mafuriko katika maeneo ya Wilaya za Rufiji na Kibiti, tofauti na...
  2. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Serikali iwalipe fidia waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe. Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Wapinzani tuwapongeze CCM kukamilisha mradi wa JNHPP unakuja kuleta mapinduzi makubwa

    Ukweli lazima usemwe. Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi. Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla. Tuwapongeze CCM kwa hili. Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
  4. Suley2019

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...
  5. Roving Journalist

    Dkt. Doto Biteko: Mradi wa JNHPP unatarajiwa kuingiza Megawati 235 katika Gridi ya Taifa mwezi huu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
  6. Nyankurungu2020

    Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme. Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
  7. Roving Journalist

    Naibu Waziri Mkuu atembelea Mradi wa JNHPP asema ndio suluhisho la upatikanaji umeme wa uhakika Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72. Dkt. Biteko...
  8. Burkinabe

    Kinachopingwa na TEC na Watanzania walio wengi siyo Uarabu wala Uislamu; ushahidi ni miradi ya SGR na JNHPP

    Habari wana Jamii Forums, Pasipo kupoteza muda, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na baadhi ya watu walioishiwa hoja za kuunga mkono mkataba tata wa DPW. Hivyo baadhi wamejikuta wakitumia hoja ya udini na uarabu. Wanaopinga mkataba...
  9. Nyankurungu2020

    Kupiga vita ufisadi sio udikteta. Leo hii ikulu Chamwino imekamlilika, Umeme toka JNHPP utaanza kuzalishwa. Daraja la busisi je?

    Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
  10. Stephano Mgendanyi

    Maji Bwawa la JNHPP Yafikia Ujazo wa Mita Bilioni 6

    MAJI BWAWA LA NYERERE (JNHPP) YAFIKIA MITA ZA UJAZO BILIONI 6 Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power (JNHPP) ambapo kwa sasa ujazo wa maji umefika mita za ujazo Bilioni 6. “Zimebaki mita kumi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme katika Mradi wa JNHPP Yafikia 92%

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
  12. saidoo25

    Watu aliowasema Rais Samia kuhujumu Bwawa la Nyerere ni kina nani?

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya watu ili mradi huo usitekelezwe. “Awamu ya tano tukasema liwalo na liwe lakini azma hii ya Mwalimu...
  13. saidoo25

    "Hatuangalii sura mtu tunataka umeme upatikane katika Bwawa la Mwalimu Nyerere" Mbunge Manyanya

    MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania lazima tujitambue na hatutaangalia sura ya mtu bali umeme upatikane Bwawa la Mwalimu Nyerere. "Na...
  14. saidoo25

    Kwanini CGTN Africa imempa kisogo January Makamba mradi JNHPP?

    Kitendo cha Televisheni ya Kimataifa ya CGTN Africa kuacha kumpa nafasi Waziri Januari Makamba kwenye ripoti yao kuhusu Bwawa la Nyerere ina maana gani? Pascal Mayalla hii kitaalam mnaitaje Waziri Mwenye dhamana kukosa nafasi ya kutoa taarifa ya mradi.
  15. U

    Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  16. Jidu La Mabambasi

    Hongera Rais Samia, hongera TANESCO kwa kufikia kujaza bwawa la Nyerere

    Geti litakalofungwa(jaribu kuzoom na ulinganishe ukubwa wa lori na watu wanaoonekana kwa mbali) Pamoja na ukweli kuwa sikuwa mshabiki sana wa JPM, lakini kwa bwawa la Nyerere alipiga bingo. Kwamba Mama Samia atabonyeza kitufe kama ishara ya kuziba...
  17. Mystery

    Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

    Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎 Maneno hayo aliyatoa katika mjadala...
  18. saidoo25

    Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  19. saidoo25

    Mliofuatilia tukio la JNHPP wamesema mradi unakamilika lini?

    Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia kwenye TV. Hadi kufikia jana Naibu Waziri wa Nishati alisema Bunge lililopita la Novemba kuwa mradi...
  20. BARD AI

    Maji yatakayojazwa Bwawa la Nyerere (JNHPP) yanaweza kuzalisha Umeme kwa mwaka mmoja bila kutegemea mvua

    Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
Back
Top Bottom