dili

Dili (Portuguese/Tetum: Díli, Indonesian: Kota Dili), also known as City of Peace, is the capital, largest city, chief port, and commercial centre of East Timor (Timor-Leste). Dili is part of a free trade zone, the Timor Leste–Indonesia–Australia Growth Triangle (TIA-GT).

View More On Wikipedia.org
  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Tako limekuja kuwa dili kuliko ubongo?

    Yaani akili inazidiwa na tako ? Tanzania. Yaani elimu imeshindwa kuwa msaada, hatimaye tako limeshinda
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa dunia ilipofikia marehemu ni dili kwa viungo vyake

    Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki. Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda maalumu hata vyote na vikafanya kazi kwa mwanadamu. Tungepata Jokeri.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wachungaji kama hawa wenye roho mbaya kwasisi wachungaji wapya wapewe adhabu gani?

    Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k. Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki...
  4. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mwenye dili la kuvuna mazao naomba aniunganishe

    Nimechoka kukaa bila kazi. Kama kuna mwenye dili la kuvuna mahindi au mazao mengine, naomba anielekeze. Kwa sasa nipo Dar es Salaam na niko tayari kusafiri popote penye kazi. Naomba mwenye taarifa au mchongo wa kazi ya kuvuna mazao anisaidie.
  5. n00b

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
  6. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Tangu niache tungi, washkaji zangu nao wamenikimbia hawanipi dili kama zamani

    Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi. Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani. Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

    Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160. Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake. Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe ‘Msama wa mama’ alipiga dili la milioni 984 na alikuwa na courage ya kuongea kwenye Media

    TAKUKURU inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kughushi nyaraka, utapeli na utakatishaji fedha kupitia Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 1371/2026 lililofunguliwa Mahakama ya Kisutu Januari 21, 2026. Washtakiwa wanadaiwa kughushi nyaraka za...
  9. brainstorm007

    JamiiForums Tanzania Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

    Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Dili la kuwa mkimbizi Ufaransa limetiki, muda huu nipo Paris

    Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Afrika Magharibi. Na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu...
  11. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Tupeane madili popote ulipo kama una dili leta hapa

    Kahama mjini wana tupeane madili Kwa walio msalala naomba kufahamu kuhusu kilimo cha bustani inakuwaje ? Watu wa mikoa mingine kama una dili weka hapo chini. Tupeane fursa
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu. Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa. Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta. Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
  14. G.T.L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mwenye Camera Kali aje nimpe dili week end hii

    Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa. Location ni Gongo la mboto. Hakikisha una Camera ya viwango. Njoo inbox niku connect
  15. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

    Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu, Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache, power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

    Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,) Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ? Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
  17. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sio dili, ni wajibu...

    Mzazi kumsomesha mtoto haipaswi kuwa uwekezaji unaosubiri faida siku moja. Watoto hawazaliwi kama mikataba ya kurejesha mkopo. Wanahitaji malezi bora, elimu na upendo—si kwa sababu watatulipa kesho, bali kwa sababu ni jukumu letu leo. Mzazi anapaswa kutoa elimu bila masharti, na kulea bila...
  19. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ng’ombe wa Maziwa Mjini: Dili Unaloishi Nalo Bila Kulijua!

    Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa! Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
  20. American nigga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
Back
Top Bottom