udhamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  2. A

    Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
  3. C

    Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

    samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
  4. K

    TFF Yaingia Mkataba na Sandaland The Only one Kuhusu Udhamini Wa Jezi

    TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano. Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
  5. benzemah

    Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  6. kocha Nabi

    Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  7. B

    CRDB, ZFF na Sheria Ngowi waingia Mkataba wa udhamini wa jezi za Zanzibar Heroes

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya Benki ya CRDB...
  8. M

    Sakata la Yanga SC na Udhamini wa Sports Pesa limethibitisha kuwa Wanaofeli Law School UDSM wanastahili

    Kama kila Mwanasheria / Wakili akienda tu Hewani Kuongea katika Redio na Runinga kuhusiana na Sakata la Yanga SC na Mdhamini Mkuu wao Kampuni ya Sports Pesa anasema lwake huku Wengine wakijichanganya kabisa kwanini tulilalamika na tunalalamika wanaosoma Law School of Tanzania Kufeli sana tofauti...
  9. M

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, Udhamini wa m.bet uliosemwa na simba kuwa ni b.26 kwa miaka 5 inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka?

    Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa...
  10. Cvez

    Hizi kelele ni kwa udhamini wa Waarabu wa Mchongo

    Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi. Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda. Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Queens yalamba udhamini wa bilioni 1

    Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja. Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake. Hii ndiyo...
  12. R1C50N

    Msaada wa udhamini kwaajili ya chuo

    Habari, Poleni na majukumu, mimi ni kijana ninae hitaji kusoma kwa level ya chuo na nimepata nafasi ya kuchaguliwa WATER INSTITUTE (Bachelor of water resources and irrigation engineering) ambapo ada kwa mwaka mzima ni 1670000 Ninashindwa kulipa Ada ya chuoni ili niweze kusajiliwa Ninaomba...
  13. A

    Natafuta Mfamasia kwa ajili ya Usimamizi wa Pharmacy

    Kama nilivyoeleza hapo juu. Nahitaji Pharmacist mwenye (degree holder). Eneo La Kazi ni Zanzibar.
  14. BigTall

    Ligi Kuu Bara haiwezi kuwa na udhamini wa benki 2 kwa wakati mmoja, huu ni uchambuzi wa NBC na DTB kama itapanda daraja

    Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC. Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo huwa inatoa timu zinazopanda daraja kwenda kucheza katika Ligi Kuu. Swali au hoja ambayo nilikuwa...
  15. Makonyeza

    Udhamini wa Bima kwa wachezaji NBC Premier League

    Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu. Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako binafsi ninaamini ndiko kilipo kisima cha vipaji vya hali ya juu vya soka, mzee mmoja alimzuia kijana...
  16. N

    Vijembe vya mpambe/Afisa wa GSM aliyekuwepo kwenye kutia saini mkataba hewa wa udhamini

    Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu. Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa...
  17. C

    FCC hata kama wamejitoa tunataka majibu ya uchunguzi ya ule udhamini feki

    FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao. TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF...
  18. M

    GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  19. John Haramba

    Hii ndiyo siri GSM kujiondoa katika udhamini ligi kuu, Simba inahusika

    Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa katika udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hiyo siyo habari mpya kwa sasa, lakini kilichopo nyuma ya pazia na sababu kubwa ni wapinzani wao wa jadi Simba kugoma kuunga mkono juu ya udhamini huo. Mara baada ya TFF kutangaza udhamini huo, kisha ikaelezwa...
  20. ESPRESSO COFFEE

    GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni Ya GSM, Leo Tarehe 07/02/2022 imetangaza kujiondoa Kwenye Udhamini Mwenza Wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ikimbukwe kuwa Kampuni Ya GSM iliingia Makubaliano Ya Kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara Na Kuweka Dau la Bilioni 2.5. Lakini Udhamini Huo Ulipingwa Vikali na Simba Sc huku Vilabu...
Back
Top Bottom