media

  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Iliwezaje mpaka shaikh mwaipopo kuwa anaweza kuongea mbele media na kujinasibu wakati ni raia wa Burundi.

    Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda. Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake. Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Tunaipinga Standard Group" - Waandamanaji Wanaounga Mkono Serikali Wajaribu Kuvamia HQ ya Media House

    Kundi la waandamanaji wanaodai kuunga mkono Serikali ya Rais William Ruto lilifika katika Makao Makuu ya Standard Group pembeni mwa barabara ya Mombasa Rd Jijini Nairobi likilalamikia kile walichokitaja kama utangazaji wa upendeleo dhidi ya utawala wa Ruto. Waandamanaji hao walifika wakiwa na...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Bilionea na Infulencer mkubwa, Zeus kaja Zanzibar Media kimya, sijui tukoje

    Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya. Baadae...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Media uchwara, je mmeshanunuliwa na mfumo? Mbona mnafuta posts za kutumiwa baada ya muda kupita?

    Wakuu Juzi na Jana nimekutana na hizi posts kutoka kwenye Media tofauti, kuna wengine bado wameziacha hewani na wengine kama Manara na Royal TV Plus wameziondoa nadhani ni baada ya kukandwa sana. Inasikitisha na kutia kichefuchefu kuona jinsi baadhi ya vinavyojiita vyombo vya habari vikitumika...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuna waandishi wamekaribia kufukuzwa Wasafi Media kwa kuhoji ukweli

    Kuna jambo moja wameliweka sawa kwa weledi mkubwa sana. Wamehitimisha kwamba TBC sio Chombo cha Umma bali ni chombo cha serikali
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Social media manager

    Kama unahitaji social media manager nipo,. Nkchekk WhatsApp 0756704145
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anatangaza kwenye Social Media anakodisha Nyumba yake hafu anaiita Airbnb?

    Ili Nyumba/apartment iitwe Airbnb Apartment, ni lazima itangazwe kwenye official platforms za Airbnb (website au App), otherwise ni Nyumba ya kupanga tu. Sahivi ukiingia Insta, Facebook, TikTok watu wanageuza maghetto yao kua ya kupanga na wanayaita Airbnb, ukiwaomba link ya profile yao kwenye...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi Ukisema leo ufute social media zote utakufa?

    Binafsi nimekuwa mtu ambaye niko so addicted na hizi vitu, huwa naondoka najipa break ila boredom inanirudiasha. Sasa hii constant stimulation na addiction inafanya ujihisi accomplished kwa kuscroll kuliko actuality.. According to neuroscience dopamine hits, zinakufanya ucrqve higher version...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

    Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
  11. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa Azam Media

    Leo ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza na Azam wameonesha mechi zote vizuri sana.Nimefurahishwa sana na muonekano mpya wa studio zao,tofauti kabisa na ule muonekano wa studio walipokuwa wanainesha kombe la dunia.
  12. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je Media inatuambia ukweli au inatuamulia tukubali ukweli upi?

    Kama kamera inaonyesha upande mmoja tu wa tukio, tunajuaje upande ambao haukuonyeshwa? Je, habari inaweza kuwa ya kweli lakini bado ikampotosha mtazamaji kwa kuacha baadhi ya ukweli? Nani anaamua tukio gani liwe headline na lipi lisitajwe kabisa? Je, kurudia habari moja mara 100 kunaweza...
  13. idiomer

    JamiiForums Tanzania I can't prove, but I believe there is no such thing as powerful as Social Media

    Everyone is there!
  14. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Next Media Completes Acquisition of Capital Radio

    Kin Kariisa’s Next Media has completed the acquisition of 100% of Capital Radio, taking full ownership of one of Uganda's most established radio groups in a move that significantly expands its presence in the country's media industry. The acquisition comes less than a month after the two...
  15. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Media za Bongo zinatoa sana airtime kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii kuliko yale ya msingi? Nimeamini kupitia sakata la Doto Magari

    Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
  16. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Social media posts protected by copyright, High court rules

    The Commercial Division of the High court has ruled that original content published on social media is protected by copyright, in a decision expected to shape how journalists and media organisations use online content. In a landmark judgment delivered on July 27, Justice Dr Ginamia Melody...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu vs watu weusi in social media

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze...
  18. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Je biashara yako ina social media accounts lakini hazileti wateja?

    Je, Biashara Yako Ina Social Media Accounts Lakini Hazileti Wateja? Au upo busy na unahitaji mtu wa kukusaidia kumanage social media accounts zako?? Habari wakuu, Leo kuwa na Instagram, Facebook, TikTok au LinkedIn account pekee haitoshi. Kinachotofautisha biashara zinazokua na zinazobaki...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mainstream Media za Tanzania zimepuuza kuripoti suala la Anthony Mtaka kutangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA?

    Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??… Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??. Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Back
Top Bottom