mradi

  1. RWANDES

    Mradi wa sgr shinyanga hadi mwanza wa kwama baada ya wachina kukosa hela

    Nimepita Jana kuelekea mwanza nakujionea Hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo wameniambia mradi umekwama kwa kuwa serikali haijatoa hela yoyote. Ndugu zangu ukweli usemwe hii serikali...
  2. T

    UNA MRADI UNAHITAJI MONITORING AND EVALUATION?

    Ndugu mdau, au kama una mfahamu mdau ana mradi alioanzisha na umeshika kasi..hata kama kuna management ya mradi husika iwe ujenzi fulani, utoaji huduma au uzalishaji wowote....Nakuletea huduma yangu ya MONITORING and EVALUATION (M&E) ambayo ndani ya miezi miwili mpaka mitatu nitakutengenezea...
  3. Pfizer

    Mradi wa Tsh 678.6 bilioni wa TPA kuleta mapinduzi ya upakuaji mafuta katika bandari ya Dar es salaam

    Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
  4. Mzee wa Code

    KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  5. The Sheriff

    Tanzania yajiunga na mradi wa Lobito Corridor

    Mradi wa miundombinu wa Lobito Corridor, unaounganisha nchi nne za Afrika, uko tayari kutekelezwa baada ya Marekani kutoa msaada wa kiufundi kwa ajili ya utafiti wa athari za mazingira. Utafiti wa uwezekano na kusainiwa kwa mkataba wa ukodishaji pia umekamilika kwa reli mpya ya kilomita 780...
  6. M

    TARURA Barabara ya Nguvu Kazi -Yongwe ni mradi?

    Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara haikudumu hata miezi mitatu ikaharibika tena. Tangu mwaka jana barabara hii haipitiki na tunahisi...
  7. L

    Mradi wa teknolojia ya kilimo kutoka China waongeza mavuno katika nchi za Afrika

    Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari moja mwaka 2023 hadi tani 8 kwa ekari moja mwaka huu, ikiwa ni karibu mara nne ya mavuno ya mwaka...
  8. Ojuolegbha

    Serikali yatoa Tsh bilioni 145.8 mradi wa maji

    Wizara ya Maji imepanga kutumia Sh. bilioni 145.77 kujenga mradi wa maji katika miji 28, ili kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa ya Songea, Ruvuma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alikagua ujenzi wa tenki la maji linalojengwa katika mtaa wa Mahenge, akipongeza...
  9. Roving Journalist

     MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  10. Roving Journalist

    DAWASA: Ni kweli Kariakoo kuna changamoto ya Majitaka, tunakaribia kuanza utekelezaji wa mradi utakaoleta suluhu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji. Kutokana na changamoto hiyo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha

    KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA REGROW HIFADHI YA TAIFA RUAHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyo chini ya Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza...
  12. Pfizer

    Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  13. USSR

    Huu mradi ulikuwa wa nani ?

    Watu wamekula keki ya taifa kupitia zana USSR
  14. JanguKamaJangu

    Wananchi waandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja Kigoma

    Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu. Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  16. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4.14 Zakamilisha Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Morogoro

    BILIONI 4.14 ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilipokea fedha jumla ya Shilingi Bilioni 4.14 (Tsh. 4,140,000,000) kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Hospitali ya Wilaya katika Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  18. Pfizer

    Abdallah Ulega amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko utatoa ajira elfu 30

    BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika...
  19. mdukuzi

    Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  20. dr namugari

    Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
Back
Top Bottom