saba

Saba (; Dutch pronunciation: [ˈsaːbaː]) is a Caribbean island which is the smallest special municipality (officially “public body”) of the Netherlands. It consists largely of the potentially active volcano Mount Scenery, which at 887 metres (2,910 ft) is the highest point of the entire Kingdom of the Netherlands. The island lies in the northern Leeward Islands portion of the West Indies, southeast of the Virgin Islands. Together with Bonaire and Sint Eustatius it forms the BES islands.
Saba has a land area of 13 square kilometres (5.0 sq mi). The population was 1,933 as of January 2020, with a population density of 148 inhabitants per square kilometre (380/sq mi). It is the smallest territory by permanent population in the Americas. Its towns and major settlements are The Bottom (the capital), Windwardside, Zion's Hill and St. Johns.

View More On Wikipedia.org
  1. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Ule unabii kuwa kutatokea jambo mwezi wa SABA je uliishia wapi ?

    Kuna unabii kwaka Jana ulisema mwezi wa saba kutatokea jambo Fulani Je uliishia wapi.?
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hatua sahihi za mtiririko rahisi wa kumuaminisha mungu mtu asiyeamini.

    Kwa wanaoamini mungu huu ni muongozo wa kuwafanya wasioamini mungu(atheists) waweze kumuamini mungu 1. Thibitisha kuna supernatural (nguvu kuu iliyo zaidi ya nguvu za asili) 2. Thibitisha hiyo nguvu kuu ni mungu tena mwenye nafsi na utashi (personal god) 3. Thibitisha huyo mungu anataka...
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DC Godfrey Mnzava azindua msimu wa Saba Kahawa Festival na kusisitiza unywaji wa kahawa kukuza soko la ndani

    Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani . Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
  4. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Kumbe ambao hawajaoa/kuolewa amri ya saba haiwahusu? au Usizini maana yake nini Wajuvi

    Nimekuwa nikitafakari kuhusu Amri ya Saba: “USIZINI” (Kutoka 20:14), na hapa ndipo nimekwama kidogo. Kama kwa maana ya kawaida uzinzi ni mtu aliye kwenye ndoa kufanya tendo la kingono nje ya ndoa, je, hii means vijana ambao hawajaoa/kuolewa hawahusiki kabisa na Amri ya Saba wanapofanya sex...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM wakiwa na jambo lao hata kama ni la kutumbukiza nchi shimoni watashikamana na kulipigia debe hutajua yupi professor doctor au la saba

    Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri yake kusaliti elimu yake na kusaliti utu wake ilimradi tu asiende kinyume na chama. Yaani kwa kifupi...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maajabu saba ya kale ya dunia

    Maajabu Saba ya Dunia ya Kale ni orodha ya majengo na sanamu za kustaajabisha zilizojengwa na wanadamu katika kipindi cha kale kuzunguka Bahari ya Mediterania. Kati ya maajabu haya yote, ni Piramidi Kuu ya Giza tu ndiyo bado ipo imesimama hadi leo, huku mengine yote yakiwa yameharibiwa na...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania HOJA Mwanafunzi anayemaliza darasa la Saba akapata ufaulu wa "A" huyu mtoto ni nyara ya Taifa asipangwe shule za kata mnadumaza vipaji nchini

    Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za kata hii ni kudumaza vipaji vya watoto nchini na ni hujuma kwa maendeleo ya elimu nchini Huwa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dunia ina rangi saba

    Msemo “Dunia rangi saba” (kwa Kihindi: Duniya saat rangon ki hai) kwa kawaida una maana ya maisha ya dunia yana sura na hali nyingi tofauti. “Rangi saba” ni mfano wa: 😊 Furaha 😢 Huzuni ❤️ Upendo 💔 Maumivu 💰 Utajiri 😔 Umaskini 🌟 Mafanikio na changamoto Kwa hiyo, unaposema “Dunia ina rangi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Open University, haswa tunaosoma program ya Masters in Community Economics kuna changamoto kubwa sana

    Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hatua kuu saba za CCM, kuzaliwa hadi leo

    1)Chama Cha ukombozi TANU +ASP=CCM Sera- Ukombozi,kupambana na Njaa ,maradhi,ujinga na umasikini ujamaa na kujitegemea. viongozi -Wafia NCHI. Wachache- Nyerere,Karume,Kawawa Aboud Jumbe, Sheik Thabit Kombo n.k 2)CCM Halisi Sera - Ujamaa na kujitegemea,kuinua maisha ya wakulima na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyie mmepata mshahara wa mwezi huu wa saba?

    Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania and Kenya launch coordinated crackdown on planned Saba Saba protests

    Hivi kumbe yaweza kuwa kweli kwamba hawa watu, muuaji Samia na mwenzake Ruto walipanga eh? https://youtu.be/UJ7hJiNslRc?is=S2Mwdwyd127bO9AX
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harambee Avenue Protest Arrests: Four Saba Saba Demonstrators Released on KSh2,000 Cash Bail

    The four protesters arrested during the Saba Saba demonstrations along Harambee Avenue have now been released after the court g each an alternative cash bail of KSh2,000. This terday, where plain-clothed officers were seen arresting demonstrators amid a heavy police presence that led to a low...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Heri ya sikukuu ya saba saba

  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saba Saba: Plainclothes Police Arrest Protesters Amid Heavy Security in Nairobi

    Heavy police presence ilishuhudiwa maeneo mbalimbali ya Nairobi wakati wa maadhimisho ya Saba Saba, hali ambayo ilichangia turnout ndogo ya waandamanaji huku wengi wakiamua kutoshiriki maandamano. Katika video inayosambaa mtandaoni, plainclothes police officers wanaonekana wakiwakamata baadhi...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania SABA SABA KUKO VUZURI SANA!,

    Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule, ---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---
  17. S

    JamiiForums Tanzania Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

    Vipi huko kwenye viwanja vya Saba Saba nini kinaendelea? Maonyesho yanaendelea ? Majibu tafadhali
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlipuko wa baruti waua na kujeruhi watu saba

    Mtu mmoja amefariki dunia na saba wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa baruti uliotokea leo tarehe 01 Julai 2026 majira ya saa 12:46 asubuhi kwenye kibanda cha kahawa katika Mtaa wa Sahwa ya Juu, Kata ya Lwanhima, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoa wa...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Story ya binti alietoroka kwao baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 2014. Baada ya kupatikana hiki ndio kisa chake.. Kuna kitu cha kujifunza hapa

    Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
  20. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Miezi Saba ya Ganzi: Tanzania inaelekea wapi?

    Ni takribani miezi saba sasa tangu Taifa liingie katika ukurasa mpya wa huzuni, majonzi na maumivu ya kijamii na kisiasa kufuatia yaliyotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Tangu wakati huo, Tanzania imeonekana kutembea kwa kusitasita kama taifa lililopoteza dira, huku sintofahamu ikitanda...
Back
Top Bottom