wanasheria

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. kikoozi

  Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

  Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
 2. M

  Wanasheria na watafsiri sheria msaada wenu

  Nawiwa kuombwa msaada wa kutafsiriwa kifungu hiki Cha 84 (2) Cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu namna ya kumpata spika wa bunge. Ni sahihi kusema kuwa nafasi ya naibu spika haijatajwa kwenye ibara hiyo Kama alivyosema Tulia? Ni sahihi Kwa naibu spika kugombea nafasi ya spika...
 3. mgt software

  Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

  Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi. Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
 4. Mr Books Tanzania

  Wanasheria naomba mnieleweshe suala hili

  Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao. Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha...
 5. Dodoma Demand

  Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu?

  Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7 MAGARI 6 aina ya BENZI NYUMBA ZA KUPANGA 100 DAlADAlA 1000 BARABARA ZA JUU (PRIVATE FLY OVER 7) Na Mengineyo Lengo ni...
 6. R

  Wanasheria nisaidieni kuhusu issue hii ya Ardhi na District Council authorities

  1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted? 2...
 7. K

  Hawa wanasheria walioshika kuandikiwa charge ndio ushauri kuhusu mikataba na miswada?

  Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo serikalini. Juzi Mama aliwaelekeza waache kubambikia watu kesi, walipoelekezwa wakafuta zaidi ya...
 8. Erythrocyte

  Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

  Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
 9. Lord OSAGYEFO

  Mlundikano wa mahabusu: Iundwe tume ya Majaji, Mawakili na Viongozi wa Dini

  Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana. Ushauri kwa Mh. Rais...
 10. K

  Wanasheria tupeni uchambuzi kesi ya Sabaya

  Wakuu, Watanzania wengi kwa sasa hawaelewi kitu gani kinaendelea kuhusiana kesi ya aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai. Hivi wanasheria wasomi ndani ya nchi hii hamuoni missing gap hapa kwa wananchi wa kawaida? Sisi Watanzania tunahitaji uchambuzi na ufananuzi zaidi kuhusiana na scenario ya...
 11. K

  Wanasheria tupeni maelezo kwanini kesi zinachukua muda mrefu?

  Nilivyokuwa na miaka 14 nilipata ajali mbaya ya kogogwa na Gari Arusha. Mimi na rafiki yangu wakati huo tulikuwa kwenye baiskeli tunashangilia kuchaguliwa kuingia form 1. Mimi ndiyo nilikuwa abiria na bahati mbaya ndiyo niligogwa na gari la kampuni ya caterpillar na dereva akakimbia. Bahati...
 12. Mathanzua

  Wanasheria wetu waungane waipeleke Serikali Mahakani kwa kukiuka Nuremberg Code

  The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1 The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent; should be so situated as to be able to exercise free power of choice, without the intervention of...
 13. Kinuju

  Mahakama yaita mashahidi katika kesi ya Ole Sabaya

  Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai. === Hakimu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, alitoa agizo hilo jana mahakamani huko baada ya kushindikana...
 14. Lorenzo Samike

  Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

  Huu uharamia wa kodi mpya za miamala ya simu unapaswa kusimama. Wanasheria wetu mtusaidie hili. Hakuna kitu kinachoitwa sijui "kodi ya uzalendo" — Lazima Mahakama iweke ZUIO la hizi kodi za kitapeli. Hauwezi ukakata kodi mara tatu kwenye muamala mmoja. Huo ni uhuni na wizi. Hizi ndizo kodi za...
Top Bottom