dewji

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Serikali haina sababu ya kumpoteza au kumuua Mtu

    Mfanyabiashara na mwanasiasa wa zamani, Azim Dewji, amefunguka kuhusu masuala ya utekaji na upoteaji wa watu nchini na kueleza kuwa haamini kama Serikali ina sababu yoyote ya kumpoteza au kumuuwa mwananchi au mpinzani yeyote. Dewji ameeza kuwa kwenye siasa kuna mbinu nyingi ambazo zinaweza...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimewekeza Simba zaidi ya 100bl.

    Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

    Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Mbunge akiwatumikia wananchi hatajiriki bali anafilisika

    Charles William Mara nyingi ninapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu, na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema Mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania. Matukio kama...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji alishawahi kuulizwa, ungetaka kua billionea tena ukirudisha ujanani akasema: "No"

    https://youtu.be/NjPSQEsUudg?t=1794
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Kiluwa wa Trilioni 17 wa kujenga viwanda Pwani ni zaidi ya Utajiri wa Mo Dewji (Tajiri Namba Moja Afrika Mashariki)

    Mfanyabiashara wa Tanzania Kiluwa amesaini mkataba wa ubia wa uwekezaji wenye thamani ya Dola za Kimarekani Billion 7 ambazo ni zaidi ya Trillion 17 na billion 800 za Tanzania kwa lengo la kuanzisha na kuendeleza viwanda vikubwa nchini Tanzania katika Mkoa wa Pwani. Hivi Kiluwa sindiyo yule...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mali za Bhakresa na Mo Dewji hazikuharibiwa Ile mo29

    Ziliharibiwa Mali za mafisadi tu, Mali za kampuni za watu waadilifunhazikuguswa kabisa. Bakhresa, tajiri namba 1 ana viwanda, magari, majumba na maduka mengi. Lakini utajiri wake haina makando kando Hakuna Mali yake iliguswa, Mo Dewji, ni tajiri anamiliki metl, utajiri wake hauna makando kando...
  9. emmarki

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji kutenga Bil. 25 kusaidia wabunifu wa AI na Fintech

    Bilionea Mohammed ‘Mo’ Dewji , ametangaza kuwa yuko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu wenye thamani ya TZS bilioni 25 ili kuchochea mageuzi ya kiteknolojia nchini Tanzania na barani Afrika. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye X Jumatano hii, Dewji ameandika: “Niko mbioni kuzindua Mfuko wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji aongelea Haki

    By Time, Indeed, mankind is in loss, Except those who believe and do righteous deeds, and encourage one another to truth, and encourage one another to patience. — [Surah Al-‘Asr 103:1-3] // Naapa kwa zama (au muda), Hakika mwanadamu yumo katika hasara, Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

    Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka 1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga. Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji kujiuzulu kabla ya tarehe 16 Sept ameona nini?

    Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki. Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amrejesha Simba Barbara Gonzalez kama Mjumbe wa Bodi

    Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini. Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

    Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ? Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next generation step up. What my forefathers instilled in me, I now pass on. 🦁 // Ninajivunia kijana wangu...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mzee Azim Dewji ni moja ya wale wapiga mapambio kinafiki

    Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi ningekuwa na wivu ningetaka kuona anafeli. Kwahiyo mzee wangu Azim Dewji ni wapiga mapambio kinafiki sababu labda kuna chochote kitu anatazima
  16. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mo Dewji wamechanga Tsh. Milioni 150, GSM peke yake amechanga Tsh. Bilioni 10 halafu utegemee Simba awe bingwa

    Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Azim Dewji: Rais Samia wasikusumbue wakina mbiombio hawa jambo isipokuwa ni wivu tu

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji katika harambe ya kuchangia kampeni za CCM ambayo inakwenda kwajina la CCM gala diner amesema Rais Samia asisumbuliwe na kinambimbio ambapo hawana jambo bali wivu tu. Rais Samia usisumbuliwe na wakina mbiombio hawana jambo bali ni witu tu...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu 10 Matajiri zaidi Tanzania, Mo Dewji aongoza kwa Tsh. Trilioni 5.5

    Mtandao wa Billionaires.Africa umetaja majina ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukizingatia vigezo vya uwekezaji, ushawishi, na mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Orodha hiyo, inaonyesha mabilionea hao wanatoka katika sekta mbalimbali zikiwemo viwanda, mawasiliano...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Fatema Dewji anasema fanya hivi ili kukuza biashara yako

    1. Pata Wateja Wapya Usisubiri bahati. Fanya biashara yako ivutie watu wapya kila wakati kwa kutumia: Matangazo yanayolenga moja kwa moja wateja wenye uwezo wa kununua Mitandao ya kijamii, SMS, whatsapp au simu Kuonyesha tofauti ya bidhaa zako kwa njia ya elimu na thamani Mteja mpya = Fursa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC bado tu mnataka GENTAMYCINE niendelee kuwaambia kuwa Mo Dewji hatufai na atuachie Timu au sasa mmeshanielewa?

    Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa. Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
Back
Top Bottom