chato

El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.

View More On Wikipedia.org
 1. Idugunde

  Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

  Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
 2. J

  Chato ni Wilaya pekee nje ya Dar iliyotembelewa na Marais na Viongozi mashuhuri wa dunia, ni halali kuifanya mkoa sasa

  Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar. Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya. Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea...
 3. kavulata

  Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

  Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
 4. figganigga

  Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

  Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
 5. Replica

  Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

  Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
 6. Zanzibar-ASP

  Chato imekuzwa na kuwa Chatu, sasa inataka kuimeza Kagera na Geita?

  Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera na Geita. Kwa sasa ni vuta nikuvute, kila upande unavutia kwake, wezee wa mkoa wa Kagera wakisema...
 7. K

  Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

  Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo. Leo aliyokuwa anayafanya...
 8. beth

  Rais Museveni kufanya ziara ya kikazi Tanzania. Atakabidhi Shule iliyojengwa kwa ufadhili wake Wilayani Chato

  Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda Rais Museveni...
 9. SULEIMAN ABEID

  Tusikurupuke kuhusu hoja ya mkoa mpya wa Chato

  Hoja ya ukabila kuhalalisha mkoa wa CHATO haina mashiko. Tujiulize faida ya kuanzisha mkoa huo kwa Taifa ni nini? Tusikurupukeee! Tujenge uchumi kwanza hayo ya mikoa na wilaya yatafuata. Kuanzisha mkoa ni gharama kubwa sana! Mpaka leo tuna mikoa mipya kadhaa iliyoanzishwa kwa JAZBA za kisiasa...
 10. K

  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba apingana na wananchi wake, aunga mkono kumegwa kuunda mkoa wa Chato

  Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum) (2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini) (3) Mh...
 11. K

  Kwakuwa ukakasi ni kuitwa mkoa wa Chato, basi uitwe mkoa wa Biharamulo

  Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato. Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
 12. Anna Nkya

  Watu wa Kagera hawataki kumegwa na Chato

  Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, amesema wilaya ya Chato haina sifa za kuwa mkoa kama watu wa Wilaya hiyo wanavyosema. Profesa Tibaijuka amesema kati ya mambo yanayooneshwa kwamba Chato haina sifa, ni kwamba haiwezi kuwa mkoa mpaka imege vipande vya mkoa wa Kagera. Amesema wao hawataki...
 13. mgt software

  Kagera kupoteza Billion 53. 4 kwa mwaka mauzo ya dhahabu kama itamegwa na kutengeneza Mkoa wa Chato

  Wana Jf, Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
 14. Hakimu Mfawidhi

  Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

  Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato. Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
 15. Matola

  Mkakati wa Chato kuwa mkoa wapingwa rasmi na RCC ya mkoa wa Kagera

  Anaandika Askofu Bagoza PhD. TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema. Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
 16. Renzo Barbera

  Kutoka Chato airport

  Hizi ndizo shughuli tunazofanya hapa Chato airport, legacy kwa kwenda mbele!
 17. Lole Gwakisa

  Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

  Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
 18. Kasomi

  Chongolo: Stendi ya Chato iwe imekamilika mpaka kufikia Disemba 30, 2021

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Halmashauri ya Chato kukamilisha Ujenzi wa stendi katika Halmashuri hiyo ili kuwezesha wananchi kuingia na kuanza Biashara. Katibu Mkuu Ndg. Chongolo ametoa agizo hilo leo tarehe 16 Novemba, 2021 wakati akiongea na...
 19. Roving Journalist

  Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

  Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
 20. Mwanambee

  Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

  Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Top Bottom