uingereza

  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Uingereza hakuna gazeti linaloitwa THE NATIONAL VOICE wala hakuna Tovuti ya The national voice.uk.co ni ujinga kuamini

    Moderators naomba uzi wangu usitolewe hadi pale nyie jamiiforums mtakapo niletea ukweli juu ya uongo wa kina mchungaji Bandikile wa kutengeneza gazeti bandia na kulipa tuhuma nzito serkali yetu hasa rais wetu kuhusika katika kashfa za kijinga zilizotajwa kwenye gazti hilo la uongo [Fake...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu azungumza na diaspora Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA KANISA KUU ANGLIKANA - UINGEREZA

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula Hollingsworth. Mara baada ya kuwasili kanisani hapo, Waziri Mkuu alipokelewa na Mshauri wa Askofu...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Sagal Abdi-Wali
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Uingereza aipongeza Tanzania

    Kumekucha: Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa Kimataifa. Akizungumza katika mahojiano maalum pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania awasili Uingereza

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Shalom Kates aelezea kuhusu kwa nini Ubalozi wa Uingereza huko Jerusalem Mashariki umefungwa!,,

    Habari zilipoibuka kwamba Israeli ingefunga Ubalozi wa Uingereza huko Yerusalemu Mashariki kutokana na vikwazo vya hivi karibuni vya Uingereza, waangalizi wengi waliitaja hatua hiyo kama kulipiza kisasi cha kidiplomasia. Kwa kuwa nilikuwa mkuu wa mawasiliano katika ubalozi wa Uingereza huko Tel...
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Soft girl life (Anita Brookes- Uingereza & Civilian- Coin_Tanzania)

    Tuone yaliyomo katika ushirikiano wa Anita Brookes (Uingereza) na Civilian-Coin (Tanzania). Watch now.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Taharuki Uingereza: Msako wa Usiku Manchester Wawatia Hofu Watu wa LGBTQ+

    Ripoti zinaeleza kuwa makundi ya vijana yamekuwa yakifanya msako wa usiku katika baadhi ya mitaa ya Manchester, nchini Uingereza, yakilenga kuwatafuta na kuwashambulia watu wa LGBTQ+, wakiwemo transgender na mashoga. Tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni liliripotiwa katikati ya jiji la...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Misimamo na yahusuyo Jamiiforums fantasy premier league kwa msimu mpya wa ligi kuu Uingereza (EPL) 2026/27 .

    Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z au autojoin kupitia https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/wemf7z Ligi hii ni just for fun lakini pia itakujengea ushindani mkubwa kuweza kushindana hata katika ligi...
  11. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Msudan Uingereza amshambulia mfalme wa Dubai kwa kuua wasudan badala yake akatukanwa matusi ya kibaguzi

    Raia wa Sudan nchini uingereza baada ya kumuona mtawala wa Dubei na makamu wa rais falme za kiarabu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum akikatiza mitaa ya London akizingirwa na jopo la walinzi alipaza sauti na kumshambulia muuaji mkubwa acheni kuua watu wangu wa Sudan emirati na UAE nyie ni...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya Uingereza aikana chadema. Hotuba ya Andy Burnham kama ya Rais Samia, hata wao mambo hayaendi

    Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa tusitegemee kupata misaada ya maana kutoka Uingereza na Jumuiya ya madola. Hata wao kumbe wanajua kuwa...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Siri ya Chupa ya golikipa wa Uingereza yafichuka, ilikuwa na mbinu za kuzuia penalti za wachezaji wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 . Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
  14. venchwa

    JamiiForums Tanzania Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

    Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
  15. I

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaiangamiza Norway 2-1 na kutinga hatua ya nusu fainali na sasa kukutana na Argentina Jumatano

    Norway 1-2 Uingereza (Baada ya muda wa ziada): Jude Bellingham ang'ara tena huku 'Three Lions' wakitinga nusu fainali ya Kombe la Dunia. Mabao mawili kutoka kwa Jude Bellingham katika joto kali huko Miami nchini Marekani yalitosha kuiwezesha England kuvuka mstari dhidi ya Norway katika ushindi...
  16. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uingereza kama demokrasia imepitiliza sasa. Keir Starmer njoo Africa utafurahi

    Waingereza wamemtimua kazi Waziri Mkuu wao lakini sasa wanabishana walichomfukuzia kazi Keir Starmer ni kipi hata wenyewe hawaelewi! Haieleweki kwa nini amelazimishwa kujiuzulu na chama chake alichokiongoza kwenye ushindi mkubwa huku akitimiza ahadi zote alizoahidi. Keir Starmer aje Africa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 10, Mawaziri wakuu 6 wa Uingereza wamejiuzulu

    Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer akijiuzulu leo Juni 22, 2026, historia inaonyesha kwa miaka 10, wameshajiuzulu mawaziri sita. Tatizo ni kwamba mfumo wa kisiasa wa Uingereza unafanya Waziri Mkuu abaki madarakani tu ikiwa anaungwa mkono na chama chake na anaweza kuongoza serikali...
  19. K

    JamiiForums Tanzania John Heche awakumbusha Nachingwea mababu zao walivyowatenda madhalimu wa Uingereza

    Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ??? Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda wanayoishi including mabanda ya mbuzi, ya kila mke, kila kijana wako, na kulimishwa kama watumwa...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
Back
Top Bottom