kashfa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC aondolewa madarakani kwa kashfa ya Ngono

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake. Khan ambaye ni mwendesha...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Mafuta Iran: Mossadegh na CIA

    Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini. Mwaka 1951, akatokea mshua mmoja anaitwa Mohammad Mossadegh, akachaguliwa kuwa Waziri Mkuu. Huyu mzee...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bill gates anaitwa neno la kashfa mnywa damu za watoto, ili neno ni kwamba ..

    Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo. Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto. Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto wengi na matarajio ya vijana wengi ambao kipindi chake kama ilivyo tanzania na sanaa na watu...
  5. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mpina aibua Kashfa ya MAFUTA dhidi ya TPDC na VITOL

    "Wakati Serikali ikijitetea kuifanya TPDC kuwa muagizaji pekee wa mafuta kwa kigezo cha kwamba itapunguza bei ya mafuta nchini, viwango vya faida (premium) vilivyowekwa na Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kwa miezi ya Mei na Juni baada ya mfumo wa ushindani kufutwa, viko juu zaidi...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

    Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana. Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha Mabadiliko si Gen Z, ni Millennials hawa ndo waliona Ahadi, Kashfa na Mfumo kwa Macho Yao

    Watu wengi wanapozungumzia nguvu ya mabadiliko ya kisiasa huwa wanakimbilia sana kuipa nguvu Generation Z kwa sababu ndiyo wanaonekana zaidi mtandaoni. Lakini ukiangalia kwa undani historia ya siasa za Tanzania za miaka ya karibuni, kuna hoja kwamba kizazi ambacho kinaweza kuleta mabadiliko...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kashfa za 'udikteta' zinazomuandama Mbappe zina msingi wowote?

    Kuna hii kashfa kuwa kajamaa ni kadikteta🤣 Kashfa hii ina msingi wowote?
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Inaonekana kama Elon Musk anapenda Nudity, Twitter akaita X, Wikipedia akapendekeza Dickpedia, Grok kupata kashfa ya kuvua Wanawake nguo

    Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UN WATCH: "Hamas ilichukua udhibit wa mfumo wa shule wa UNRWA unaohusika na kusomesha watoto Gaza. UN ilijua kuhusu kashfa hii na haikufanya chochote"

    UNRWA ikusanya zaidi ya dollar bilioni moja kila mwaka za pesa za misaada na pesa hizi zilipotea katika mifuko ya maofisa waliokuwa wamewekwa na hamas katika nafasi za shule hizo. Pesa hizo zilitumika ku-fund vitendo vya kigaidi na machafuko.
  12. Lavit

    JamiiForums Tanzania Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

    Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi? Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
  15. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

    Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
  16. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  17. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Mrema alijimikishia Chadema Media TV

    Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi. John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
  18. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Watergate iliyomgo'a Richard Nixon kwenye kiti chake cha Urais

    Naam am back, Wadau wa JF je mnaikumbuka kashfa au skendo maarufu ya kisiasa kuwahi kutokea na kuitikisa Marekani miaka ile ya 1970s? Hii ilikuwa ni kashfa kubwa ya kisiasa iliyomkumba rais wa 37 wa marekani wakati huo bwana Richard nixon iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kikatiba miaka ya...
Back
Top Bottom