Asilia Guillén (1887–1964) was a Nicaraguan folk artist, specializing in embroidery and painting.
Guillén was born in Granada, Nicaragua, into a patrician family. She received an education typical for a young woman of her station, learning embroidery and music among other subjects. She worked in embroidery for much of her artistic life, in line with the tradition of the bordados granadinos produced by the city of her birth. She took up painting at the age of sixty-five; once discovered by poet Enrique Fernández Morales, she took classes with Rodrigo Peñalba, at the time director of the School of Fine Arts in Managua. Early in her career she showed work at the São Paulo Art Biennial. In 1957 she was one of the six artists included in the group exhibition 6 Artists of Nicaragua organized by the Organization of American States; soon thereafter she was taken up by José Gómez-Sicre, who ensured that her work gained exposure in Latin America and further afield. Her paintings were shown at the Mexican Inter-American Bienal and in exhibits in Knokke and Baden-Baden, and in 1962 she exhibited eighteen works in Washington, D.C. in her first solo show; she visited under the auspices of the United States Department of State, and gained further international recognition as a result. Gómez Sicre commissioned another work from her in 1964, titled The Founders of the Americas Meet on the Islands of Lake Granada and designed for inclusion in the Central American and Panama Pavilion at the 1964 World's Fair. For a time Guillén lived at the Solentiname art colony, becoming acquainted with its founder, Ernesto Cardenal.Stylistically, the embroideries Guillén produced at the beginning of her career grew more elaborate as she developed, moving from traditional floral motifs to more complicated landscapes and historical scenes. Her paintings, which depict similar scenes, are known for their intricate detail. She drew much of her inspiration from the history and vistas of her native city. Two of her paintings, both oils on canvas, are owned by the Art Museum of the Americas; they are Rafaela Herrera Defends the Castle from Pirates of 1962 and Heroes and Artists Come to the Pan American Union To Be Consecrated of the same year.
Ganzi mikononi na miguuni inamaanisha kukosekana kwa fahamu katika sehemu hizo. Hisia ndiyo inakosekana sababu kunakuwa hakuna damu na neva zinakosa mawasiliano ya moja kwa moja na ubongo.
Ni jambo la kawaida linalowapata watu wengi sana miaka ya hivi karibuni.
Kinachosababisha ganzi...
UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rashal Energies...
Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays.
Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi gone with the wind
Leo CCM Tanganyika ni Kitila Katambi.Mwigulu .Ndejembi Mwana FA na kama hao wasio...
Habari wakuu.
Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza??
Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote.
BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
Mchakato ni kama ufuatao;-
Gas turbine kubwa ya kuzalisha megawatts 100 ni usd million 20 sawa na kama tsh Trillion 40+ kama
Mfano wa gas turbine zinazozalisha megawatts 100+
General Electric (GE) LMS100: A highly efficient aeroderivative gas turbine that produces approximately 100–116 MW...
Wakuu,
Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu mtikisiko mkubwa wa mafuta unaoendelea kuikumba China na dunia kwa ujumla kufuatia kushtadi kwa vita...
Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically)
Je kwanini serikali haichukulii ongezeko la bei ya mafuta kama jambo la dharula na ikatafutwa njia ya haraka ya kudhibiti...
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea.
Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara
na Mwandishi wa Times
Oktoba 18, 2025
Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia
Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya! 💊
Ukwaju siyo tu kitamu kwenye juisi au mboga… ni hazina ya tiba ya asili iliyothibitishwa na sayansi. Wakati mwingine tunapuuza matunda yaliyo mbele yetu, kumbe ndiyo dawa bora kuliko vidonge tunavyokimbilia.
✅ Faida kuu za ukwaju...
Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
Habari wakuu,
Kimsingi, kuna nguvu ya asili inayoumba uwepo wa uhai duniani. Kati ya nguvu nyingi, nishati ya umeme ni moja ya muhimu inayoumba maisha. Jua limekuwa chanzo kikuu cha nishati hii 🌞. Tunapopokea miale yake moja kwa moja, mwili unachochea uzalishaji wa vitamini D, mimea hupata nguvu...
Je, unahitaji
Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)?
Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station
Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana.
Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000
Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu
Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
Kwa nchi kama Tanzania ambao tuna-umeme mdogo sana ambao hautoshi kwa ajili ya viwanda ni vizuri tukatumia gesi asilia ambayo inaweza tumika kama primary source of energy
Faida zake ni nyingi sana yatavutia waekezaji kwa kupunguza gharama za uzalishaji viwandani na kupunguza gharama za maisha...
I have powers to the extent nikiingia kwenye machimbo yangu huko kwenye ulimwengu uliojificha basi nikija kutoka WATANZANIA watakatika na viu vyao vya muda mrefu (for my powers I can quench the unquenched thirsty of Tanzanians)
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24.
Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha...
Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezindua mradi wa 'Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi', wenye thamani ya Dola za Kimarekani 5.8 milioni.
Mradi huo umefadhiliwa na Mfuko wa Mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.