kukosekana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Azam Energy hawaoneshi kiwango cha caffeine kilichopo kwenye vinywaji hivyo?

    Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa dawa ya chemo Muhimbili kwa wagonjwa wa kulazwa

    Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
  4. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Mtaa wa Bi. Mtambo, Kimara-Stopover tuna changamoto kubwa ya maji

    Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kimara Stopover, Mtaa wa Bi Mtambo (upande wa kushoto ukitokea Kimara). Kwa muda mrefu sasa wananchi wa eneo hili tumekuwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya kukosekana Mochwari Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, uongozi wasema fedha imetengwa kujenga jengo hilo

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya wao kupeleka malalamiko pindi haki zao za msingi zinapokiukwa

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mnara wa babeli uliangushwa na kukosekana fizikia wala msimuweke Mungu

    Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye ujenzi. Leo chawa ndio washauri wa kila jambo.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kukosekana akidi

    Naandika hii kuhusiana na ubishi kati ya Chadema na Msajili Iko hivi, Kwa mfano akidi ni watu kumi. Wapo saba,watatu hawapo. 1 Wanasema,"Kama watatu hawapo,ni halali kwetu kundelea na mkutano." Wanaendelea na mkutano Hiyo ni kosa inaitwa fabricated aims. Kusema " nadhani tunaweza tu kundelea"...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA watasusia uchaguzi basi wapiga kura kwenye uchaguzi 2025 watapungua kwa asilimia kubwa

    Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana. Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa vipaji CCM ni tatizo

    Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi. Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa jenerata jengo la dharula Hospitali ya mkoa wa Morogoro ni aibu

    Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania KERO Utoaji wa huduma ya maji kwa upendeleo eneo la Lulindi wilayani Masasi

    Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu ya kejeri kwa baadhi ya Mtumishi wao Bwana Kwame Mpojo ambaye amekuwa akitoa majibu ambayo sio ya...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala

    Wakuu, Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi. Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Msimamizi afafanua kukosekana kwa majina Mtoni kwa Azizi Ally

    Kuzaliwa kwa vituo vipya vya kupigia kura tofauti na vilivyotumika kuandikisha imetajwa kuwa sababu ya wananchi kutoona majina yao katika sehemu walizojisajili. Hilo limesemwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kata ya Mtoni, Nobert Kamugisha baada ya kuwapo kwa malalamiko ya baadhi ya watu...
Back
Top Bottom