bilionea

  1. Chibike

    JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bilionea Motsepe na ARC waondolewa kwenye kesi ya Tsh. Bilioni 505.7 ya Mradi wa Graphite wa Tanzania

    Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7) iliyofunguliwa na kampuni ya Marekani, Pula Group. Mahakama hiyo pia ilibainisha kuwa ARC haiwezi kubeba lawama...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi, Kumbe Story ya Kuoa Binti wa IGP Saidi Mwema ni Uzushi wa Uongo! . JF Tuacheni Uongo na Uzushi!, Unatuharibia!

    Wanabodi Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es Salaam ambapo nimekutana Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi ambaye pia ni mmoja wa waombolezaji...
  4. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Bilionea Lugumi kuhudhuria ‘Kikao cha Wanaume’ April 2, 2026

    Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu yanayohusu maisha, maadili na juhudi za kujiletea maendeleo binafsi. Miongoni mwa wazungumzaji ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine huyo hapa. Unadhani atakemea wizi, uuaji, uporaji etc? Never!

    Clip inatosha
  6. Chibike

    JamiiForums Tanzania Mali za Bilionea Ginimbi hazirithiki, familia yaamua kuziacha zioze kama si kupotea tu

    Kwenye ulimwengu huu ambao kila mtu anasaka pesa ili aweze kuishi maisha mazuri na ya kifahari, hio ni tofauti kwa familia ya marehemu bilionea maarufu kule Zimbabwe aitwae Ginimbi. Kama tunavyojua mwamba alipata ajali mbaya alipokua Anatoka kula starehe kwenye besdei ya mwnadada Mrembo flani...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania. Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika. SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
  8. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

    Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
  9. Chibike

    JamiiForums Tanzania Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

    Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini, Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove, Bilionea anayetafuta kuajiriwa kwa 18m/Mwezi

    Bilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m. #Kijana Stuka#
  11. Chibike

    JamiiForums Tanzania Bilionea Jay Rutty Yani uzi mkali hivi halafu mseme ni WA mechi za Pre Season?

    Jezi Kali halafu mseme ya mechi za pre season..hayo matusi aise...tunaomba jezi ya kucheza ligi kuu inayokuja basi inatakiwa iwe kali zaidi ya hizi tena mara Saba ama zaidi tofaut na hapo zikiwa hazieleweki mtazirudisha hizi hizi sokoni watu wanunue.. Jezi zinauliziwa kila Kona ya nchi, wekeni...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Ronaldo ni mchezaji Bilionea, afikia utajiri wa Dola Bilioni Moja

    Mshindi mara tano wa Ballon d’Or Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kufikia utajiri wa USD Bilioni kwa juhudi zake binafsi katika historia ya mchezo huu. Mwaka 2020, kulikuwa na taarifa mitandaoni zikidai kuwa Ronaldo alikuwa tayari amekuwa bilionea. Lakini ukweli ni...
  13. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwann kenya haina bilionea au maendeleo kenya yanapimwaje??

    Top 20 hamna bilionea wa kenya hata mmoja shida nini hii nchi
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Bilionea pekee kutoka Tanzania

    Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali In 1971 she married late Reginald...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

    "Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
  16. mudytawaleni1802

    JamiiForums Tanzania Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔 Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄 Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanakataa Clam Vevo sio Bilionea?

    Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024 Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kiafrika anatarajia kujenga AI data centre ya kwanza barani Afrika

    Bilionea wa Zimbabwe Strive Masiyiwa anayemiliki Cassava Technologies ametangaza kushirikiana na Nvidia kujenga data centre ya kwanza barani Afrika. Cassava Technologies inapanga kutumia teknolojia ya kisasa ya AI ya Nvidia ifikapo Juni 2025 nchini Afrika Kusini. Pia wamepanga kujenga data...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
Back
Top Bottom